Hii ndiyo Gharama ya Kufunga Mfumo wa VAR, Tanzania bado sana hatuwezi

Hii ndiyo Gharama ya Kufunga Mfumo wa VAR, Tanzania bado sana hatuwezi

Sisi tutakuwa na VAR yetu ya Azam TV....hapo nimewaza kama yule waziri 😂😂😂
 
Kwanini marejeo ya kwenye tv yasiruhusiwe? Mfano refa anakuwa na king'amuzi chake cha azam kule pembeni
Inawezekana kabisa ila wakoloni wanaakili na wanaona mbali sana ambapo nchi masikini hazioni. FIFA yenyewe wameweka vijisheria ambavyo lazma vitawafaidisha wao na hawataki kabisa kutoa fursa kama hizo sijui za kutumia Azam tv replay.
 
Sisi sidhani sana kama tunahitaji hiyo VAR kwa sasa ila ambacho tungehitaji sana sana ni mfumo fulani wa kuhakiki kura kwenye uchaguzi ili chaguzi zetu ziwe za haki.

Mfumo unaotumika sasa ni wa kihuni kabisa na uliojaa hila na matokeo yake tunapata viongozi ambao sio kabisa chaguo la wapiga kura.

We anxiously need VAR for checking election outcome rather than for checking soccer results.
 
Replay na var inatofauti gan maana naona kama ni mifumo inayofanana
Sio lazm tuige mifumo ghali ya kizungu tunaweza kuwa tunatumia replay tu
 
Sisi sidhani sana kama tunahitaji hiyo VAR kwa sasa ila ambacho tungehitaji sana sana ni mfumo fulani wa kuhakiki kura kwenye uchaguzi ili chaguzi zetu ziwe za haki.

Mfumo unaotumika sasa ni wa kihuni kabisa na uliojaa hila na matokeo yake tunapata viongozi ambao sio kabisa chaguo la wapiga kura.

We anxiously need VAR for checking election outcome rather than for checking soccer results.
Agiza kvant kubwa
 
Sisi Tungoje Mchina Aje Atohoe VAR Ya Ujanjaujanja Kama Smartwatch
 
Ingependeza kama gharama ikawa kubwa zaidi ya hapa ili washindwe hadi watakapong'amua kuwa sheria number one ya soka ni Kiwanja, na wakaanza Kudial na viwanja kwanza na siyo VAR.

Hapo wataweza hii gharama hata kwa mkopo.
Sio washindwe kuweka ili mikia waendeleze chupli chupli!?
 
Back
Top Bottom