Msimshambulie mleta mada, aliyasema haya miaka 2 iliyopita. Kama AZAM hadi mwaka jana tu walikuwa wanatumia camera mbili katika mechi tena za timu kubwa kama Simba matokeo yake wanashindwa kuonyesha matukio ya offside kwa uhakika, ilikuwa sahihi kujiuliza haya maswali.