Hii ndiyo maana ya kustaafu?

Hii ndiyo maana ya kustaafu?

Mh mkuu wa nchi alipokuwa anamuapisha general mkunda kasema general mstaafu wa jwtz ataendelea kumteua ktk majukumu mengine,na akasema leo hii katibu mkuu atamteua mstaafu Mabeyo ktk kazi nyingine.Je ipi maana ya kustaafu ?

Hivi unajua kwamba kuna magari mengi barabarani ambayo book values zake, kwa kutumia kanuni za kihasibu, ni zero? Kwanini hatuyaweki juu ya mawe?
 
Mh mkuu wa nchi alipokuwa anamuapisha general mkunda kasema general mstaafu wa jwtz ataendelea kumteua ktk majukumu mengine,na akasema leo hii katibu mkuu atamteua mstaafu Mabeyo ktk kazi nyingine.Je ipi maana ya kustaafu ?
Wacha aendelee kula nchi wakati vijana wanazunguka mtaani.
 
Sasa na mm nimekubali tunahitaji katiba mpya, ukweli kungekikuwa na katiba thabiti na Miata inayo weka ukomo wa mambo ya uteuzi haya leo yasinge tokea
 
Mh mkuu wa nchi alipokuwa anamuapisha general mkunda kasema general mstaafu wa jwtz ataendelea kumteua ktk majukumu mengine,na akasema leo hii katibu mkuu atamteua mstaafu Mabeyo ktk kazi nyingine.Je ipi maana ya kustaafu ?
Amempa Uenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Ngorongoro (NCAA) akasimamie miradi ya wajomba wa Muscat na Dubai.
 
Mh mkuu wa nchi alipokuwa anamuapisha general mkunda kasema general mstaafu wa jwtz ataendelea kumteua ktk majukumu mengine,na akasema leo hii katibu mkuu atamteua mstaafu Mabeyo ktk kazi nyingine.Je ipi maana ya kustaafu ?
Ameshaula tayari
 
Kustaafu kusini mwa jangwa la Sahara hakuna maana
Inachotakiwa maliza mkataba A uanze mkataba B
Halafu elewa ile position aliyokuwa nayo hapakuwa padogo
Mchango wake Ni mkubwa ktk Taifa, acha apewe hiyo nafasi kwenye bodi ya ngorongoro
 
Back
Top Bottom