Mama Pasco
JF-Expert Member
- Nov 3, 2021
- 453
- 446
Mwenyekiti wa bodi ni post ambayo ni ceremonial tu snafanya kazi ya kuongoza vikao vya bodi vinavyokaa mara chache tu kwa mwaka na kutoa ushauri tu ile siyo ajira rasmi ingawa posho yake ni ndefuMh mkuu wa nchi alipokuwa anamuapisha general mkunda kasema general mstaafu wa jwtz ataendelea kumteua ktk majukumu mengine,na akasema leo hii katibu mkuu atamteua mstaafu Mabeyo ktk kazi nyingine.Je ipi maana ya kustaafu ?