Mama Pasco
JF-Expert Member
- Nov 3, 2021
- 453
- 446
Mwenyekiti wa bodi ni post ambayo ni ceremonial tu snafanya kazi ya kuongoza vikao vya bodi vinavyokaa mara chache tu kwa mwaka na kutoa ushauri tu ile siyo ajira rasmi ingawa posho yake ni ndefuMh mkuu wa nchi alipokuwa anamuapisha general mkunda kasema general mstaafu wa jwtz ataendelea kumteua ktk majukumu mengine,na akasema leo hii katibu mkuu atamteua mstaafu Mabeyo ktk kazi nyingine.Je ipi maana ya kustaafu ?
Ndiyo hoja ya mleta uziMwenyekiti wa bodi ni post ambayo ni ceremonial tu snafanya kazi ya kuongoza vikao vya bodi vinavyokaa mara chache tu kwa mwaka na kutoa ushauri tu ile siyo ajira rasmi ingawa posho yake ni ndefu
Mbona hawafanyi hivyo kwa kada zingine pia? Siasa ni kitu kibaya sana!Kustaafu kusini mwa jangwa la Sahara hakuna maana
Inachotakiwa maliza mkataba A uanze mkataba B
Halafu elewa ile position aliyokuwa nayo hapakuwa padogo
Ni kufa..😂Bongo kustaafu ina namna nyingine kabisa
Ova
Hii nchi kama unajulikana utakula mpaka ufeMh mkuu wa nchi alipokuwa anamuapisha general mkunda kasema general mstaafu wa jwtz ataendelea kumteua ktk majukumu mengine,na akasema leo hii katibu mkuu atamteua mstaafu Mabeyo ktk kazi nyingine.
Je ipi maana ya kustaafu ?
Kustaafu ni kubadilisha majukumu toka uliyokuwa nayo kwenda mapya..!! Kama ilivyo kupumzika, nikubadilisha kazi toka moja kwenda nyingine...!!Mh mkuu wa nchi alipokuwa anamuapisha general mkunda kasema general mstaafu wa jwtz ataendelea kumteua ktk majukumu mengine,na akasema leo hii katibu mkuu atamteua mstaafu Mabeyo ktk kazi nyingine.
Je ipi maana ya kustaafu ?
Sema wastaafu wa sasa hawawashwiwashwiKeshapangiwa huko kwenye mbuga, acha akale upepo.
Ungekuwa wewe mtu kasimamia katiba hadi ukatusua ungemwacha.
Wastaafu tupo akina Mamndenyi
Bongo kustaafu ni kufaBongo kustaafu ina namna nyingine kabisa
Ova
Kama hi ndiyo maana serikalini basi vijana tukaze buti.Kustaafu ni kubadilisha majukumu toka uliyokuwa nayo kwenda mapya..!! Kama ilivyo kupumzika, nikubadilisha kazi toka moja kwenda nyingine...!!
dahHii nchi kama unajulikana utakula mpaka ufe
kama ni hivyo kumbe vijana wenzangu wanaoweza wapo wangetazamwa .Mwenyekiti wa bodi ni post ambayo ni ceremonial tu snafanya kazi ya kuongoza vikao vya bodi vinavyokaa mara chache tu kwa mwaka na kutoa ushauri tu ile siyo ajira rasmi ingawa posho yake ni ndefu
Na hili si kwa huyu wa majeshi pekee, EMBU MCHEKI WASIRA..! YupoooooKama hi ndiyo maana serikalini basi vijana tukaze buti.
Vikao vya kisheria vinafanyika mara 4 kwa mwaka lakini wanaruhusiwa kuongeza vikao 2 jumla 6, posho yake sasa ni hatari tupu kila kikao hakosi 5M