Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

1C4BD258-50BC-4A2E-9B87-F9C2284CCAC4.jpeg
 
Kabla sijaendelea, una uhakika siijui Puturu vizuri na ufanyaji kazi wake?

Unajua ganzi ni nini hasa?

Jinsi gani Vumbi la kongo inafanya kazi?

Vumbi la Kongo maarufu Puturu inapakwa au kutiwa katika kichwa cha uume muda mfupi kabla ya kusex. Puturu inachofanya ni kuzuia KABISA bloodflow au mzunguko wa damu kufika katika mishipa ya kichwa cha uume.

Imagine uzuie tu damu kufika katika kidole completely hata kwa nusu saa...sembuse katika uume kwa masaa manne??? Kumbuka uume ni kiungo chenye asili ya kuwa na damu nyingi haswa inaposimama.

Wewe subiri tu miaka michache tu ijayo utasikia madhara yake.
Sasa kama damu haifloooow inakuwaje uume unasimama? ACHA KUTUTISHA
 
Kabla sijaendelea, una uhakika siijui Puturu vizuri na ufanyaji kazi wake?

Unajua ganzi ni nini hasa?

Jinsi gani Vumbi la kongo inafanya kazi?

Vumbi la Kongo maarufu Puturu inapakwa au kutiwa katika kichwa cha uume muda mfupi kabla ya kusex. Puturu inachofanya ni kuzuia KABISA bloodflow au mzunguko wa damu kufika katika mishipa ya kichwa cha uume.

Imagine uzuie tu damu kufika katika kidole completely hata kwa nusu saa...sembuse katika uume kwa masaa manne??? Kumbuka uume ni kiungo chenye asili ya kuwa na damu nyingi haswa inaposimama.

Wewe subiri tu miaka michache tu ijayo utasikia madhara yake.
Hebu niweke sawa.

Mechanism ya uume kusimama ni damu kujaa kwenye uume, damu ikizuiwa uume utasimamaje?

Pia kumwaga hakuna uhusiano na damu kupita na kuingia kwenye uume. Kumwaga ni hisia zaidi.

Kwangu mimi nikiambiwa hilo vumbi linaziharibu nerves nitaamini kwa 57% nikiambiwa vumbi linazuia damu nitaamini kwa 8%
 
Nilikua nasoma article moja hivi. Kule Iraq na Afghanistan wamarekani walikua wanapata sana siri za makundi ya kigaidi kutoka kwa watu wa makamo mpaka wazee.

Na kilichosababisha flow y utoaji siri ni malipo ambayo waIraq na waAfghan waliyataka. Wote walikua wanataka Viagra.

Kuwa na mke zaidi ya mmoja ukiachilia mbali gharama za uchumi kupanda na gharama za mwili kutumika hupanda pia, hivyo kwa kuhofia kuaibika wengi waliamua kua mainformer ili walipwe viagra.

Anyway, yeyote anayetumia vumbi, viagra ya namna yeyote ile hawezi kua rafiki yangu.
 
Nerve zinazosupply ngozi ni tofauti na damu..
Soma anatomy ya penis plz ndio uje kubishana
Sibishani.

Ulichoandika sijakielewa kidogo ila ngoja niandike kwa urahisi.

Nervous system inacontrol hisia za kila sehemu ya mwili, ikitokea umeng'atwa na sisimizi kwenye uume ni nerv. sys. ndiyo inakupa taarifa the same ukipaka hilo vumbi.
Kusema uume unaoperate kivyake siyo kweli.
 
Kuna umuhimu wa kuwa na uzi maalumu utakaodadavua kwa kina hili vumbi la mkongo linafanyaje kazi, faida na madhara yake.

Ila mkuu haukua na haja ya kuelezea details nyingi za huyo dada na ukizingatia msingi mkuu wa uzi wako ni vumbi la mkongo.
 
Back
Top Bottom