Nilikua nasoma article moja hivi. Kule Iraq na Afghanistan wamarekani walikua wanapata sana siri za makundi ya kigaidi kutoka kwa watu wa makamo mpaka wazee.
Na kilichosababisha flow y utoaji siri ni malipo ambayo waIraq na waAfghan waliyataka. Wote walikua wanataka Viagra.
Kuwa na mke zaidi ya mmoja ukiachilia mbali gharama za uchumi kupanda na gharama za mwili kutumika hupanda pia, hivyo kwa kuhofia kuaibika wengi waliamua kua mainformer ili walipwe viagra.
Anyway, yeyote anayetumia vumbi, viagra ya namna yeyote ile hawezi kua rafiki yangu.