Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

Kabla sijaendelea, una uhakika siijui Puturu vizuri na ufanyaji kazi wake?

Unajua ganzi ni nini hasa?

Jinsi gani Vumbi la kongo inafanya kazi?

Vumbi la Kongo maarufu Puturu inapakwa au kutiwa katika kichwa cha uume muda mfupi kabla ya kusex. Puturu inachofanya ni kuzuia KABISA bloodflow au mzunguko wa damu kufika katika mishipa ya kichwa cha uume.

Imagine uzuie tu damu kufika katika kidole completely hata kwa nusu saa...sembuse katika uume kwa masaa manne??? Kumbuka uume ni kiungo chenye asili ya kuwa na damu nyingi haswa inaposimama.

Wewe subiri tu miaka michache tu ijayo utasikia madhara yake.
mi nataka nitumie mara moja tu mzee au nayo noma
 
Machifu gani hao tofautisha misosi ya zamani na ulaji wa sasa hivi. Humu mjini Hilo ni janga tuulize sisi wanawake ndo tuwaambje
Nani kakudanganya walikuwa hawatumii? tena matumizi zamani yalikuwa makubwa kuliko sasa. Machifu na wazee walikuwa wanatumia mizizi maalumu kwa siri kubwa na iliwawezesha kuwahudumia wanawake zaidi ya 10
 
Naona watu wanafanya argument za kibiologia kihisia hisia. Yaani mtu anakomaa na kushindwa kutofautisha kati ya cardiovascular system na nervous system. Ingekuwa kufa ganzi ni kutokuzunguka kwa damu basi unapopigwa nusu kaputi wakati uanafanyiwa operation basi damu ingesimama?
 
Yaani kwa uchovu wote huo wa wa saa kumi na mbili jioni hadi saa tano usiku umempa elf 20 tuu!!!!!!

Money is not everything but that's not fair.... Japo pia hakuwa anauza.

Anyways am not concerned.
Sasa kama na yeye alipata utamu kuna haja gani ya kumpa tena hela??!
 
Sasa kama na yeye alipata utamu kuna haja gani ya kumpa tena hela??!

If one is not a gentleman will argue that, but if one is a gentleman he'll never take it as a big deal. Women are flowers and all the time they need to be showered.... if at all you understand the meaning and get the point behind.

K' Matata.
 
Mwendo wa mavumbi tu

Mpka ufike uzeen utaanza tumia matope ya congo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Vumbi ya Mkongo nzur,.sema watu huwa wanapapuka sana kuitumia,
Kwanza, Unatakiwa uwe na Nguvu na hisia,
Pili, unapaka kidogo tu, pengne upande mmoja wa kichwa cha Uume (nusu ya upande wa kichwa), ila sasa utakuta mtu anapaka Uume mzima au kichwa cha uume chooooote na anaacha Zaid ya nusu saa,Hii huwez enjoy kabisaa..
Ukipaka Nusu Tu, Hata Manzi wako akila Koni unaisikia kabisa na ww ukiingiza kwake unakaa Lisaa limoja la wastan, na unafanya Goli 2 au 3 .. Furesh Kabisa
 
Naona watu wanafanya argument za kibiologia kihisia hisia. Yaani mtu anakomaa na kushindwa kutofautisha kati ya cardiovascular system na nervous system. Ingekuwa kufa ganzi ni kutokuzunguka kwa damu basi unapopigwa nusu kaputi wakati uanafanyiwa operation basi damu ingesimama?
Ukifikiria Hii, basi Vumbi la kongo halina madhara ya Karibu...
Kula, kushiba na kuwa na Virutubisho iko pale pale,
Kuna mtu anakula vizur ila kwaajil ya Nyeto anakosa nguvu, dawa yake ni hii tu, na.kwa kias kidogo,l
 
Naona watu wanafanya argument za kibiologia kihisia hisia. Yaani mtu anakomaa na kushindwa kutofautisha kati ya cardiovascular system na nervous system. Ingekuwa kufa ganzi ni kutokuzunguka kwa damu basi unapopigwa nusu kaputi wakati uanafanyiwa operation basi damu ingesimama?
Tatizo shule zao ndogo mkuu[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Kabla sijaendelea, una uhakika siijui Puturu vizuri na ufanyaji kazi wake?

Unajua ganzi ni nini hasa?

Jinsi gani Vumbi la kongo inafanya kazi?

Vumbi la Kongo maarufu Puturu inapakwa au kutiwa katika kichwa cha uume muda mfupi kabla ya kusex. Puturu inachofanya ni kuzuia KABISA bloodflow au mzunguko wa damu kufika katika mishipa ya kichwa cha uume.

Imagine uzuie tu damu kufika katika kidole completely hata kwa nusu saa...sembuse katika uume kwa masaa manne??? Kumbuka uume ni kiungo chenye asili ya kuwa na damu nyingi haswa inaposimama.

Wewe subiri tu miaka michache tu ijayo utasikia madhara yake.
Aisee jamaa mbishi mno kama Waisraeli walivyokuwa wanambishia Musa. Muda utampa jibu zuri.
 
Back
Top Bottom