Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

Kudanga ni ku risk Kwa kiwango kikubwa Yani ni kujitoa mhanga!
Ndo maana Serikali imeona uwepo utaratibu wa Watu wote kupima afya mara Kwa mara
 
Kuna umuhimu wa kuwa na uzi maalumu utakaodadavua kwa kina hili vumbi la mkongo linafanyaje kazi, faida na madhara yake.

Ila mkuu haukua na haja ya kuelezea details nyingi za huyo dada na ukizingatia msingi mkuu wa uzi wako ni vumbi la mkongo.
Vumbi halina faida yoyote zaid ya kuonekana jembe kwa mda mfup km mtoa uzi
 
Nawasikitikia sana watumia vumbi, kuna kitu tunaishi nacho kwenye mazingira yetu ila wengi hamkijui na kina faida kweli kweli
 
Mkuu hapana, huenda jamaa akawa sahih because mnaita liremba sijui ...mnajifunga kweny uume for a while, sasa inawezekana Ile dawa ili ilete ganzi lazima iingie ndani kupitia vitundu vidog vya ngozi brother!!!! Sababu haupaki tu, nasikia unajifunga kabisa alaf huku unaendelea na shughuli zingine kabisa sasa kwa nini isikuathiri mpaka kwenye mishipa ya damu? Watu wa aina yenu ndio mnasababisha wanawake waone kuna tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kumbe sio kweli, coz huy demu akakutana na jamaa anaenda dk 10_15 bas atajua ana upungufu, kumbe wewe ulitumia dawa .....!!!! Na vijana wengi hutumia hii kwa madem walio hustle kuwapata lkn madhara yake ni ya mda mrefu sana.... for both sex tena psychologically..... inawezekana kabisa ikiwa na madhara ndugu!!!!
Kweli mkuu na hili wanawake wengi hawajalitambua hili, wakikutana na mwanaume anaunga 3 bila kupumzika wanaona anazo nguvu bila kujua wenyewe wametumia madawa, siku tukienda nao mwendo wa dk 30 hadi 45 wanaona huwezi.
Kuna demu mmoja alikua akimsifia sana mshikaji wangu aliekua akimtesa kua anayaweza sana, nikamtonya mvizie kwa mda wako akafanya hivyo jamaa akagoma kabisa kupiga show,
Siku mshikaji kapanga yeye nkampa demu mbinu ukifika pale goma utoe sababu za msiba, kakaa pale saa nzima hadi anaondoka mashine bado imeumuka ndio akaniamin.
 
Wee unafikiri hizo dawa za wamasai wanazitoa wapi? Kama sio wameridhi kwa mababu wa enzi hizo waliozigundua, haya madawa yapo vizazi na vizazi, lishe na mazoezi ni nzuri kwa wale gemu 3 hadi 4 kwa wiki, lkn kwa gemu za kila siku kwa wale wenye wake wengi lazima watumie na walikua wananywea kwenye chai kila siku.
Huko ni kujichosha tu papuchi haikomolewi siku hizi mjini watu wanatumia kuanzia za kimasai mpaka za Congo still tatizo ni kubwa. Mababu wa kale na sasa ni tofauti kabisa
 
Narudia tena kuwa...sio miaka mingi inayokuja vijana wengi watajuta sana kutumia vumbi la kongo maarufu kama Puturu.

Ukitaka kujua walioathirika watafute wale madereva wa malori ya kwenda kongo, walitumia sanaa miaka ya 2007-2010...leo hii mashine ikisimama akapizi mara 1 anamshukuru Mungu.

kilichobaki ni kusaidiwa tu kazi kwa wake zao na heshima ya ndoa hakuna.

fanya utafiti mkuu...!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huko ni kujichosha tu papuchi haikomolewi siku hizi mjini watu wanatumia kuanzia za kimasai mpaka za Congo still tatizo ni kubwa. Mababu wa kale na sasa ni tofauti kabisa
Sio kwamba hawana nguvu, bali unakuta mwanamke kawa kwenye mahusiano na mshikaji miaka 2 hadi 3 anasuguliwa zaidi ya lisaa mfululizo bila kupumzika anajua ndio inavyotakiwa kumbe mshikaji anategemea nguvu ya dawa wakija kuachana akikutana na wa dk30 hadi 45 anaona hana nguvu.
 
Kweli mkuu na hili wanawake wengi hawajalitambua hili, wakikutana na mwanaume anaunga 3 bila kupumzika wanaona anazo nguvu bila kujua wenyewe wametumia madawa, siku tukienda nao mwendo wa dk 30 hadi 45 wanaona huwezi.
Kuna demu mmoja alikua akimsifia sana mshikaji wangu aliekua akimtesa kua anayaweza sana, nikamtonya mvizie kwa mda wako akafanya hivyo jamaa akagoma kabisa kupiga show,
Siku mshikaji kapanga yeye nkampa demu mbinu ukifika pale goma utoe sababu za msiba, kakaa pale saa nzima hadi anaondoka mashine bado imeumuka ndio akaniamin.
Hahhahah, hi ipo sana mkuu....nilipo jua hili swala limekuwa exegereted na men wenyewe, ni siku nipo mitaa ya chuo na jamaa zangu ... story zikaanza mara liremba nikauliza ndo nin nikapewa maelezo, sasa kwa jinsi kila mtu alivyo kuwa anachangia na kukiri kutumia, nikajiuliza sasa sis wa Dk 15 chali tukikutana na mwanamk aliypitiwa na majamaa ....si ataona unazingua? Alaf kibaya zaidi wanawake hawajui kama majamaa wanatumia dawa, coz inafika kipindi demu anashangaa mpaka bao la kwanza et limewai...unajiuliza mbona la kwanza kuwai kawaida.......!!! Kumbe alikutana na jamaa la kwanza katumia dawa then ka last for 1hour!!!!!!
 
Hivi lipoje lipoje hilo vumbi jaman....tumeni hata picha yake bs
 
Hahhahah, hi ipo sana mkuu....nilipo jua hili swala limekuwa exegereted na men wenyewe, ni siku nipo mitaa ya chuo na jamaa zangu ... story zikaanza mara liremba nikauliza ndo nin nikapewa maelezo, sasa kwa jinsi kila mtu alivyo kuwa anachangia na kukiri kutumia, nikajiuliza sasa sis wa Dk 15 chali tukikutana na mwanamk aliypitiwa na majamaa ....si ataona unazingua? Alaf kibaya zaidi wanawake hawajui kama majamaa wanatumia dawa, coz inafika kipindi demu anashangaa mpaka bao la kwanza et limewai...unajiuliza mbona la kwanza kuwai kawaida.......!!! Kumbe alikutana na jamaa la kwanza katumia dawa then ka last for 1hour!!!!!!
Hawajui tu mkuu kwamba wanafanywa na nguvu za nyongeza ndio hao wanaolewa lkn kila kukicha kwa michepuko akihisi mmewe hana nguvu kumbe anachezewa na dawa, kuna jamaa mwingine akienda kwa mchepuko anatumia dawa ila kwa mkewe hatumii ili michepuko waone yuko vizuri kumbe hamna kitu.
 
Kweli mkuu na hili wanawake wengi hawajalitambua hili, wakikutana na mwanaume anaunga 3 bila kupumzika wanaona anazo nguvu bila kujua wenyewe wametumia madawa, siku tukienda nao mwendo wa dk 30 hadi 45 wanaona huwezi.
Kuna demu mmoja alikua akimsifia sana mshikaji wangu aliekua akimtesa kua anayaweza sana, nikamtonya mvizie kwa mda wako akafanya hivyo jamaa akagoma kabisa kupiga show,
Siku mshikaji kapanga yeye nkampa demu mbinu ukifika pale goma utoe sababu za msiba, kakaa pale saa nzima hadi anaondoka mashine bado imeumuka ndio akaniamin.
kwahio uli uza ramani ya vita ili jamaa aonekane hana nguvu
 
Vumbi ya Mkongo nzur,.sema watu huwa wanapapuka sana kuitumia,
Kwanza, Unatakiwa uwe na Nguvu na hisia,
Pili, unapaka kidogo tu, pengne upande mmoja wa kichwa cha Uume (nusu ya upande wa kichwa), ila sasa utakuta mtu anapaka Uume mzima au kichwa cha uume chooooote na anaacha Zaid ya nusu saa,Hii huwez enjoy kabisaa..
Ukipaka Nusu Tu, Hata Manzi wako akila Koni unaisikia kabisa na ww ukiingiza kwake unakaa Lisaa limoja la wastan, na unafanya Goli 2 au 3 .. Furesh Kabisa
Mdau uko vizuri.
 
Back
Top Bottom