Hii ndiyo mara yangu ya kwanza na ya mwisho kutumia vumbi la Kongo

Kudanga ni ku risk Kwa kiwango kikubwa Yani ni kujitoa mhanga!
Ndo maana Serikali imeona uwepo utaratibu wa Watu wote kupima afya mara Kwa mara
 
Kuna umuhimu wa kuwa na uzi maalumu utakaodadavua kwa kina hili vumbi la mkongo linafanyaje kazi, faida na madhara yake.

Ila mkuu haukua na haja ya kuelezea details nyingi za huyo dada na ukizingatia msingi mkuu wa uzi wako ni vumbi la mkongo.
Vumbi halina faida yoyote zaid ya kuonekana jembe kwa mda mfup km mtoa uzi
 
Nawasikitikia sana watumia vumbi, kuna kitu tunaishi nacho kwenye mazingira yetu ila wengi hamkijui na kina faida kweli kweli
 
Kweli mkuu na hili wanawake wengi hawajalitambua hili, wakikutana na mwanaume anaunga 3 bila kupumzika wanaona anazo nguvu bila kujua wenyewe wametumia madawa, siku tukienda nao mwendo wa dk 30 hadi 45 wanaona huwezi.
Kuna demu mmoja alikua akimsifia sana mshikaji wangu aliekua akimtesa kua anayaweza sana, nikamtonya mvizie kwa mda wako akafanya hivyo jamaa akagoma kabisa kupiga show,
Siku mshikaji kapanga yeye nkampa demu mbinu ukifika pale goma utoe sababu za msiba, kakaa pale saa nzima hadi anaondoka mashine bado imeumuka ndio akaniamin.
 
Huko ni kujichosha tu papuchi haikomolewi siku hizi mjini watu wanatumia kuanzia za kimasai mpaka za Congo still tatizo ni kubwa. Mababu wa kale na sasa ni tofauti kabisa
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huko ni kujichosha tu papuchi haikomolewi siku hizi mjini watu wanatumia kuanzia za kimasai mpaka za Congo still tatizo ni kubwa. Mababu wa kale na sasa ni tofauti kabisa
Sio kwamba hawana nguvu, bali unakuta mwanamke kawa kwenye mahusiano na mshikaji miaka 2 hadi 3 anasuguliwa zaidi ya lisaa mfululizo bila kupumzika anajua ndio inavyotakiwa kumbe mshikaji anategemea nguvu ya dawa wakija kuachana akikutana na wa dk30 hadi 45 anaona hana nguvu.
 
Hahhahah, hi ipo sana mkuu....nilipo jua hili swala limekuwa exegereted na men wenyewe, ni siku nipo mitaa ya chuo na jamaa zangu ... story zikaanza mara liremba nikauliza ndo nin nikapewa maelezo, sasa kwa jinsi kila mtu alivyo kuwa anachangia na kukiri kutumia, nikajiuliza sasa sis wa Dk 15 chali tukikutana na mwanamk aliypitiwa na majamaa ....si ataona unazingua? Alaf kibaya zaidi wanawake hawajui kama majamaa wanatumia dawa, coz inafika kipindi demu anashangaa mpaka bao la kwanza et limewai...unajiuliza mbona la kwanza kuwai kawaida.......!!! Kumbe alikutana na jamaa la kwanza katumia dawa then ka last for 1hour!!!!!!
 
Hivi lipoje lipoje hilo vumbi jaman....tumeni hata picha yake bs
 
Hawajui tu mkuu kwamba wanafanywa na nguvu za nyongeza ndio hao wanaolewa lkn kila kukicha kwa michepuko akihisi mmewe hana nguvu kumbe anachezewa na dawa, kuna jamaa mwingine akienda kwa mchepuko anatumia dawa ila kwa mkewe hatumii ili michepuko waone yuko vizuri kumbe hamna kitu.
 
Yaani nimecheka kinyama aisee,
Nami kuna manzi namvizia kitambi anajaa na kutoka nilitaka siku akijaa mazima nimfanyie umafia sasa kama mambo yenyewe ndo haya dah nitaua aisee.
piga vumbi mwanangu lazima akae
 
kwahio uli uza ramani ya vita ili jamaa aonekane hana nguvu
 
Mdau uko vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…