Last warning. ..... hizi mambo za vumbi zina faida na starehe kwa kipindi kifupi sana ktk maisha ya ujana. .....
Huko mbele ya safari wengi watajuta , kwa waliaonza kutumia miaka 10 iliyopita kwa sasa ni majuto mjukuu.....
Raha ya mechi bao, usijione bwege kwa kufunga goli mapema hiyo ni human nature, na tumeumbwa hivyo ..... usiufanyie mwili wako majaribio. Vumbi la Congo ni mtishamba uliochanganywa na kemikali ya kichina ili kupiga ganzi uume , haina tofauti na zile ganzi zinazopigwa wakati wa kutoa jino
Narudia kwa mara ya mwisho
Km hujawahi kutumia epuka kabisa. .. km unatumia ' acha mara moja kwani hujachelewa .. ipo siku utajikuta upo too late to the point of no return. ...na hii post bado itakuwepo na utaleta ushuhuda huku ukiwa na majonzi makubwa ndani ya nafsi yako , wakati huo utakuwa umepoteza kabisa meaning of your own life, kwa sababu mtalimbo utakuwa umelala mazima kwa ajili ya negligence.
Humu hatujuani kabisa, lakini ni vyema tuka-share vitu positive na sio kuhamasishana upuuzi.... km unalitumia vumbi kwa mke wako kumbuka siku ukiacha expect unexpected .....
Nothing good come out of Congo. .... lile ni dump or testing ground ya kemikali from Asia na West kwa kiasi kidogo ....mfano hai ni mikorogo ( skin bleaching chemical ) wengi wanatamani kuzirudia ngozi zao asili but it's too late
Wanadamu tunaangamia kwa kukosa maarifa
Siku njema.