LIKUD upo sahihi bro ila kwa nilichojifunza mimi ni kuwa msiri kwenye mipango nasio kwenye matumizi yaani ile paap..! Wanastuka nimefanya hiki mara kile bila kujua harakati zangu.
Siwezi kujifichaficha kunywa bia, kuvaa vizuri, kujenga, kununua ndinga kisa haters hapana aisee.