Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
wadudu wote hujenga nyumba na kuishi humo,ila bui bui ,akiona jua hukimbilia nyumba ya binadamu ,na akiona mvua hukimbilia nyumba ya binadamu . Hivyo hajafikia malengo ya kujenga ,tunajua viumbe wote wanawindaNami nakwambia hakuna nyumba iliyo salama kama nyumba ya bui bui kwa sababu hizo nyuzi nyuzi hunasa wave ya hatari yoyote iliyo katila uelekeo huo hivyo bui bui hupata taarifa kabla
viumbe wote huwinda. Hapo ni nyumbaAkiyekudanganya kuwa hiyo ni nyumba ni nani? Huo ni mtego wa kujipatia chakula kama hujui sasa.
Sio kweli yeye hifuata wadudu au chakula kwenye nyumba za binadamu na sio hifadhi Ya jua na mvuawadudu wote hujenga nyumba na kuishi humo,ila bui bui ,akiona jua hukimbilia nyumba ya binadamu ,na akiona mvua hukimbilia nyumba ya binadamu . Hivyo hajafikia malengo ya kujenga ,tunajua viumbe wote wanawinda
Sawa,ni nyumba(jengo) ya kuwindia.Point ni dhaifu kuliko zoteSio kweli yeye hifuata wadudu au chakula kwenye nyumba za binadamu na sio hifadhi Ya jua na mvua
Tafadhali usitumia rejea ya msaafu kwa sababu mwandishi hakuwa akfanya research hivyo kaongopa pengi
Nyumba bora isiyo na siri, maandiko yataka hekima.Nami nakwambia hakuna nyumba iliyo salama kama nyumba ya bui bui kwa sababu hizo nyuzi nyuzi hunasa wave ya hatari yoyote iliyo katila uelekeo huo hivyo bui bui hupata taarifa kabla
Hapo mwnyezi mungu anawasema washrikina ambao utemegemea majini kuwalinda ndio anawapigia mfano kwamba hao viumbe wanavyo tegemea kuwalinda ni dhaifu mfano wa nyumba ya buibui na sio kama ulivyo ichukiliaNami nakwambia hakuna nyumba iliyo salama kama nyumba ya bui bui kwa sababu hizo nyuzi nyuzi hunasa wave ya hatari yoyote iliyo katila uelekeo huo hivyo bui bui hupata taarifa kabla
Mwenyezi mungu au Muhammad?.Hapo mwnyezi mungu anawasema washrikina ambao utemegemea majini kuwalinda ndio anawapigia mfano kwamba hao viumbe wanavyo tegemea kuwalinda ni dhaifu mfano wa nyumba ya buibui na sio kama ulivyo ichukilia
Mwenyezi mungu ndiyo kashusha maneno yake kupitia kwa malaika jibril (Gabriel) kwa muhammad inaitwa Qur-an. Muhammad hakuwa anajua kuandika ni kama muujiza wa Mwenyezi mungu. Pia maneno kama hayo kashushiwa Nabii Mussa (taurat) na kashushiwa nabii Issa (Yesu ukipenda jesus) inaitwa injili .Pia kashushiwa baba yake nabii suleiman anaitwa Nabii Daud inaitwa ZaburiMwenyezi mungu au Muhammad?.
Mwenyezi mungu ndiyo kashusha maneno yake kupitia kwa malaika jibril (Gabriel) kwa muhammad inaitwa Qur-an. Muhammad hakuwa anajua kuandika ni kama muujiza wa Mwenyezi mungu. Pia maneno kama hayo kashushiwa Nabii Mussa (taurat) na kashushiwa nabii Issa (Yesu ukipenda jesus) inaitwa injili .Pia kashushiwa baba yake nabii suleiman anaitwa Nabii Daud inaitwa Zaburi