Hii ndiyo Nyumba Dhaifu zaidi Duniani

Hii ndiyo Nyumba Dhaifu zaidi Duniani

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
"Mfano wa walio wafanya walinzi badala ya Mwenyezi Mungu, ni mfano wa buibui alivyo jitandia nyumba. Na hakika nyumba dhaifu mno kuliko zote ni jumba la buibui, laiti kuwa wanajua." (Qurani 29:41)

The_Quran_on_Spider_Webs_(part_1_of_2)._001.jpg
 
Nami nakwambia hakuna nyumba iliyo salama kama nyumba ya bui bui kwa sababu hizo nyuzi nyuzi hunasa wave ya hatari yoyote iliyo katila uelekeo huo hivyo bui bui hupata taarifa kabla
wadudu wote hujenga nyumba na kuishi humo,ila bui bui ,akiona jua hukimbilia nyumba ya binadamu ,na akiona mvua hukimbilia nyumba ya binadamu . Hivyo hajafikia malengo ya kujenga ,tunajua viumbe wote wanawinda
 
Sio kweli yeye hifuata wadudu au chakula kwenye nyumba za binadamu na sio hifadhi Ya jua na mvua

Tafadhali usitumia rejea ya msaafu kwa sababu mwandishi hakuwa akfanya research hivyo kaongopa pengi
 
Sawa,ni nyumba(jengo) ya kuwindia.Point ni dhaifu kuliko zote
 
Hebu tuache kuweka vifungu vya dini ili kukwepa fedhea za waziwazi kwa point zisizo na mashiko kama yako
 
Nami nakwambia hakuna nyumba iliyo salama kama nyumba ya bui bui kwa sababu hizo nyuzi nyuzi hunasa wave ya hatari yoyote iliyo katila uelekeo huo hivyo bui bui hupata taarifa kabla
Nyumba bora isiyo na siri, maandiko yataka hekima.
 
Nami nakwambia hakuna nyumba iliyo salama kama nyumba ya bui bui kwa sababu hizo nyuzi nyuzi hunasa wave ya hatari yoyote iliyo katila uelekeo huo hivyo bui bui hupata taarifa kabla
Hapo mwnyezi mungu anawasema washrikina ambao utemegemea majini kuwalinda ndio anawapigia mfano kwamba hao viumbe wanavyo tegemea kuwalinda ni dhaifu mfano wa nyumba ya buibui na sio kama ulivyo ichukilia
 
Mwenyezi mungu au Muhammad?.
 
Mwenyezi mungu au Muhammad?.
Mwenyezi mungu ndiyo kashusha maneno yake kupitia kwa malaika jibril (Gabriel) kwa muhammad inaitwa Qur-an. Muhammad hakuwa anajua kuandika ni kama muujiza wa Mwenyezi mungu. Pia maneno kama hayo kashushiwa Nabii Mussa (taurat) na kashushiwa nabii Issa (Yesu ukipenda jesus) inaitwa injili .Pia kashushiwa baba yake nabii suleiman anaitwa Nabii Daud inaitwa Zaburi
 
Kumbe hizi akili Bado zipo.!!!!!!

Tunasafari ndefu sana
 
Back
Top Bottom