Catalonia ni sehemu ya Spain, ilichukuliwa kijeshi, hawana Muungano, hawana mkataba, hawana taratibu za Spain kuigawia Catalonia uongozi au hela au ajira. Hawana katiba mbili. Hawana Muungano wa kijinga kama huu wa kwetu.Spain. Kwenye muungano wao na Catalonia
Tumekang'ang'ania ka Zanzibar, kana nini cha mno zaidi ya kutupa stress na mzigo wa kukitunza hiki Kizanzibar ??????