Zawadini
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 2,369
- 1,775
Endelea kuona aibu. Nyerere yeye aliona fahari kuona Wazanzibari ni sehemu ya nchi yenu. Sasa wakati ndio huu, uvunjeni lakini, narudia tena, hamtouvunja kwani muna mawazo ya kikoloni kuitawala Zanzibar. Kumbuka mkoloni ni mkoloni tu, awe Mzungu, Mwarabu au Mwafrika.Huwa naona aibu kwamba na wazanzibar eti ni sehemu ya nchi yetu, yaani watu legelege, watu walalamishi, wavivu na wazembe, wasiojua nini hawataki na nini wanataka, wasio na msimamo wao kupenda mahaba na kula tu basi