Catalonia ni sehemu ya Spain, ilichukuliwa kijeshi, hawana Muungano, hawana mkataba, hawana taratibu za Spain kuigawia Catalonia uongozi au hela au ajira. Hawana katiba mbili. Hawana Muungano wa kijinga kama huu wa kwetu.Spain. Kwenye muungano wao na Catalonia
1. Huko kulewa kwa kujficha ndo ustaarabu wenyewe, tofauti na kulewa hadharani na kujikojolea nguoni mtu mzima.Hakuna walevi kama wazanzibar sema wanalewa kwa kujificha hapo unapata tatizo la pili yaani unafiki, nguo gani mnavaa nyie tofauti na kanzu kama wazee wa karne ya 13.
Kuwapa waarabu eneo loliondoUmesahau mengine mengi.
1.Kuharibu elimu yetu kwa kushirikiana na mabeberu.
2.Kuharibu Kilimo kwa kushirikiana na mabeberu kama akina Rockefeller.
3.Kutaifisha mali za watu.
4.Kushirikiana na mabeberu kuharibu mazingira yetu.
4.Kushirikiana na mabeberu kuharibu afya za Watanzania kwa kutumia mbinu mbali mbali.
Umesahau mengine mengi.

Sawa kabisa mkuu,kugawa rasilimali zetu kwa wageni kwa bei ya kutupa.Kuwapa waarabu eneo loliondo
Sasa si ndio imewezekana kujengwa kwa hizo zahanati katika maeneo yaliyo na watu baada ya kufanikiwa kwa sera za uundwaji wa vijiji hivyo? Vp kama hadi leo watu wangekua scattered kama ilivokua awli? Ingekua tabu kiasi gani kuwafikia watu!Huduma gani zilirahisishwa? Unajua hata hospitali na zahanati nyingi zimekuja kuanza kujengwa kwenye maeneo mengi kuanzia awamu ya 4 na ya 5?