Hii ndiyo pembetatu ya Bermuda (Bermuda triangle)

Hilo eneo baharia le mutuz kapita sana, walikuwa wanaingia kwenye huo mkondo unawazungusha siku tatu then unawaachia waendelee na safari.

Hebu muacheni Waziri Mkuu mstaafu apumzike jmn.
 
hahahaa
Le mutuz alikuwa hataki kabisa kuishi kwa title ya baba yake. Alitaka life yake yeye kama yeye.

Na kweli amipata tittle yake yeye kama yeye nikimuangaliaga ndani ya kile kinoah najiulizaga hivi huyu mtoto wa Waziri mkuu kweli kuendesha kinoah kama hiki jmn. Khaaaaaa...! 🙄
 
Hamna cha shetani wala nini isipokuwa ni sehemu ambayo pepo kali za bahari hiyo ya arctic hukutana
 
Zipo thread nyiangi sana zinazohusu hii Bermuda Triangle
Tafuta yenye wachangiaji wengi usome labda utapata mwangaza, maana jibu sahihi halijapatikana
Pia kuna Dragon triangle
Jibu lishapatikana kitambo sana kwenye nchi za watu huko kwetu ndo kwanza watu wanaenda kuomba chatu yule wa chato awape baraka
 
Mkondo wa maji hauwezi zuru ndege iliyo angani. Siamini kama kuna shetani pale ila pia siamini kama chanzo cha yote ni mkondo mkari wa maji. Labda kama huo mkondo utakuwa unatengenezwa na kimbunga
Sorry, naomba kukuuliza swali; Umewahi kupanda ndege na ukakatisha bahari kubwa?? Usikasirike tafadhali
 
Sorry, naomba kukuuliza swali; Umewahi kupanda ndege na ukakatisha bahari kubwa?? Usikasirike tafadhali
Sijawahi kupanda ndege. Ila kutowahi kwangu kupanda ndege hakufanyi nisihisi mfumo mzima wa wanaosafiri katika ndege.
 
Sijawahi kupanda ndege. Ila kutowahi kwangu kupanda ndege hakufanyi nisihisi mfumo mzima wa wanaosafiri katika ndege.
Basi hata huko kwenye ndege kukitokea mabadiliko ya hewa huleteleza madhara kwa wasafiri na ndege yenyewe.
 
Hilo eneo baharia le mutuz kapita sana, walikuwa wanaingia kwenye huo mkondo unawazungusha siku tatu then unawaachia waendelee na safari.
Kama aliwahi kusema hivyo basi aliwadanganya. Ki ukweli wanasayansi bado hawajapata jibu kuna nini hasa hapo na huyo mtu mumsemaye kwa madai yake alikuwa idara ya engineering hivyo hawezi kuwa na ufahamu mkubwa kuhusu hilo. Kama ingalikuwa kuna maelezo ya kitaalamu basi mimi ningekuwa mmoja wa watu wenye taarifa sahihi si tu kwasababu nimekrosi sana maeneo hayo, bali pia nina elimu ya kutosha kwenye fani hiyo
 
Moja kati ya hadithi taamu sana ambazo ukihadithiwa lazima ukae chini na usikilize vizuri ila nachokiamin hii nayo ni kama zileee za Hapo zaman za kale nafikir umenielewa mtoa uzi......
 
S
Source plz, or it didnt happen
 
Mkuu zuru na mkari una maanisha nini???? Au ndiyo dhuru na mkali ?? Ccm bhana mnakera sana
Mkondo wa maji hauwezi zuru ndege iliyo angani. Siamini kama kuna shetani pale ila pia siamini kama chanzo cha yote ni mkondo mkari wa maji. Labda kama huo mkondo utakuwa unatengenezwa na kimbunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…