Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Pamoja na vita na kampeni ya Urusi na China dhidi ya dola ya Marekani tangia vita ya Ukraine ianze, dola ya Marekani imezidi kuonyesha ndio hela stable zaidi duniani.
Dola imezidi kubaki imara kama chuma huku fedha za nataifa mengine tajiri zikiporomoka na kuifanya dola kuendelea kuwa hela salama zaidi kwa ajili ya kutunza akiba au "reserve"