Hii ndiyo sababu Watanzania hatuandamani kama Wakenya- tunashirikishwa

Hii ndiyo sababu Watanzania hatuandamani kama Wakenya- tunashirikishwa

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
1719050508501.png
 
Bongo hakuna maandamano kama nchi jirani kwa sababu siasa haijafanikiwa kuligawa taifa katika makundi makubwa mawili au zaidi ya watu wa hali ya chini, ambapo kundi moja linapendelewa kuliko lingine kwa maslahi ya kisiasa.

Ukabila ndio unafanya kazi hiyo ya ugawaji na uchonganishi katika nchi jirani.
 
maoni ya nn sasa kwani wao wanapouandaa huwa hawajui ni wapi wanaminya na wmuswada api wangepaswa kulegeza!?Sababu sio hyo sababu ni ELIMU wabongo bado uelewa wetu uko down hasa sisi ordinary citizens,Huo ndio ukweli!
Usikatae wito kataa neno
 
Waondoe haraka Kodi za magari ya umene na yanayotumia gesi ku encourage watu wageuze magari kutumia gesi ambayo bei rahisi na umeme.ambao tunao ili inflation ishuke na matumizu ya pesa za kigeni yashuke ya Kununua mafuta
 
mkuu kuanzia kesho Jumapili hadi Jumanne wiki ijayo- soma tena wito wa bunge
 
Back
Top Bottom