Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpumbavu mwenyewe na ukoo wakoWewe ni mpumbavu na hakuna namna ya kukusaidia
🖕WEWE NI MPUMBAVU
Wabongo ni wavumilivu, shida Wana Viongozi wasiojitambua ambao hutumia uvumilivu huo vibaya, baadala ya kuleta maendeleo wao Wanautumia vibaya uvumilivu wa watanzania kufanya Ufisadi.Bongo hakuna maandamano kama nchi jirani kwa sababu siasa haijafanikiwa kuligawa taifa katika makundi makubwa mawili au zaidi ya watu wa hali ya chini, ambapo kundi moja linapendelewa kuliko lingine kwa maslahi cha kisiasa.
Ukabila ndio unafanya kazi hiyo ya ugawaji na uchonganishi katika nchi jirani.
Hakuna jipya. Kama walichukua maoni ya sheria ya uchaguzi ila mwisho wa siku wakapitisha mambo yao. CCM Ina dharau Sana, walishafanya nchi Mali yao. Very stupid.mkuu kuanzia kesho Jumapili hadi Jumanne wiki ijayo- soma tena wito wa bunge
Kwani kwa kutojuwa kwako kwamba Kenya ndio vinara wa kutoa habari kama hizo na wananchi kushiriki ndiyo iwe sababu ya kuja kudanganya watu hapa JF?Mkuu nenda katoe maoni acha upumbavu
Kwa nini mnahangaika wakati jibu sahihi liko hapa: Wakati Kenya asilimia 90 ya wanaohitimu elimu ya msingi wanaenda shule za sekondari, Tanzania ni asilimia 40 tu ya wanaomaliza elimu ya msingi ndio wanaenda sekondari.
Sasa kwenye vyuoo ndiko Tanzania tunapo pigiliwa msumari wa mwisho kama unavyoweza kuona hapa chini 👇
*******************************************
The number of university students among East African countries has continued to increase to stand at about 800,000 today, that is Kenya 546,700 and Tanzania 51,000 students, while Ugandan has 200,000 students.
********************************************
Kwa hali hiyo hapo juu Mtanzania kwa mazingira hayo ya elimu duni aliyonayo hawezi kuandamana kwa sababu anaamini kwamba kuandamana kuipinga serikali ni utovu wa nidhamu kwa hiyo serikali na badala yake ni kuamini kwamba kuitii serikali kwa kila jambo ndio uzalendo kwa nchi yako...!!
Wakati kwa Kenya kwa hayo mazingira ya elimu waliyonayo ni vigumu sana mtu kukubali kuwa chawa wa mtu mwingine na ndio maana upeo wa watu ni mpana sana na wanaamini kabisa kwamba wananchi ndio wanapaswa kuwa mzigo kwa serikali na sio serikali kuwa mzigo kwa wananchi wakati uelewa wa watanzania ni kinyume chake.
Tanzania bado sana na ndio maana rais wa Tanzania hulewa sifa kishenzi wakati wa Kenya yuko kiti 🔥 punde tu uchaguzi unapoisha.
Jomo Kenyatta aliwahi kusema mwaka 1961 kwamba kuongoza Kenya ni sawa na kuongoza mgonjwa MAHUTUTI kwani siku akipona lazima atadai haki yake, ila kuongoza Tanzania ni sawa na kuongoza MAITI, haiwezi kuamka kudai haki yake inasubiri kuzikwa tu.
Haya yanayotokea Kenya leo ni uthibitisho wa kauli hiyo ya marehemu Kenyatta aliyoitoa takriban miaka 63 iliyopita.
Tujitafakari.
Soma hapo juu, utaelewa kwa nini wanaonekana kuwa wavumilivu.Wabongo ni wavumilivu, shida Wana Viongozi wasiojitambua ambao hutumia uvumilivu huo vibaya, baadala ya kuleta maendeleo wao Wanautumia vibaya uvumilivu wa watanzania kufanya Ufisadi.
hamia burundi tuanche a ntz yetu nzuriiiiiiiiiiiKushirikishwa ya nyokoooo li nchi lina wananchi wa ajabu mpk aibu kujisema ni mtz
... wali ukinasa kwenye nywele huwa unaitwa 'lice' kwa kisukuma!Sorry niko nje ya mada kidogo; hivi lice kwa Kiswahili ni nini?
Hizo ni Ghiriba tu za Kiutawala.
Labda mnashikishwa na si kushirikishwa ebo.
Watu hawaandamani kwakuwa ni waoga, Wala sio kwakuwa wanapewa igizo la kushirikishwa. Unamshirikisha nani wakati watu hata hilo bunge hawafuatilii? Kwa taarifa yako vijana ambao ndio wenye nguvu ya kuandamana wamepuuza huo ushirikishwaji wa kisanii.Mkuu nenda katoe maoni acha upumbavu
Hakuna mwanaume anayesimamisha vizuri ataenda kupoteza muda wake kwenye igizo liitwalo kushirikishwa, huku mkiwa na maamuzi tayari. Lipeni watu wajitokeze kisha muwapige picha kuonyesha watu wamejitokeza kutoa maoni.Usikatae wito kataa neno