Majirani hawajieliwi sisi hatuna haja ya kuandamana. Kwa za uchumi wetu upo vizuri na maisha yetu yapo vizuri kuliko wao na tuna wasomi wengi. Tuna viongozi werevu na wazalendo kuliko huko na wametulitea maendeleo ndiyo maana kwa Afrika mashariki na Kati sisi ndiyo namba moja kiuchumi.