Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Upuuzi ndio umekujaa kumkichwa! Big fool. Unanijua hata ww toto la kiume?Daaah! Huyu mama D amekupa nini? Au unavunga tu kumsifia ili kusudi baadae uanze kumtongoza mdada wa watu?

Ila mama D tukiachana na hayo maandiko, unaonekana ni mdada fulani unaejielewa sana, am liking you..WARUMI 1: 24-32
24 Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao.
25 Kwa maana waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya Muumba anayehimidiwa milele. Amina.
26 Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;
27 wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.
28 Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
29 Wamejawa na udhalimu wa kila namna, uovu na tamaa na ubaya; wamejawa na husuda, na uuaji, na fitina, na hadaa; watu wa nia mbaya, wenye kusengenya,
30 wenye kusingizia, wenye kumchukia Mungu, wenye jeuri, wenye kutakabari, wenye majivuno, wenye kutunga mabaya, wasiowatii wazazi wao,
31 wasio na ufahamu, wenye kuvunja maagano, wasiopenda jamaa zao, wasio na rehema;
32 ambao wakijua sana hukumu ya haki ya Mungu, ya kwamba wayatendao hayo wamestahili mauti, wanatenda hayo, wala si hivyo tu, bali wanakubaliana nao wayatendao.
Sentensi ya mwisho sijaelewa, "unanijua hata wewe toto la kiume"? Ulitaka kumaanisha nini?Upuuzi ndio umekujaa kumkichwa! Big fool. Unanijua hata ww toto la kiume?
Ili ufanikiwe unatakiwa uwe ruthless na stingy na sio mchapakazi tu haitoshiDunia haina nafasi ya mnyonge, na ndio maana katika dini yetu ya kiisilamu hakuna nafasi ya kumuachia MUNGU, kila kitu watu wanatakiwa kufanya kwa juhudi zote, kwa nguvu zote na kwa maarifa yote, na MUNGU kaamrisha watu wafanye vitu kwa mtindo huo.
Hata Nabii Yahya mtoto wa Zakaria ambae Wakristo humwita Yohana mbatizaji (amani za MUNGU ziwe juu yake). MUNGU alimuamuru kufanya kazi ya dini kwa juhudi zote na kwa maarifa yote. MUNGU alimwambia Ewe Yahya chukua kitabu (Torati) kwa nguvu, yaani sambaza hayo yaliyomo kwa juhudi zote na kwa maarifa yote.
Watu waovu hufanikiwa kwa sababu ya uvumilivu wao na umoja wa kusudi (Yaani anakuwa na lengo moja hadi likamilike). Watu waovu hufanya wanavyopaswa ili kupata kile wanachotaka. Ikiwa ni muhimu kumsaliti rafiki au kumdhuru mtu ili kufikia lengo, wanafanya tu.
Hawazuiliwi na vizuizi vya kimwili na kijamii. Kwa muhtasari, watu waovu hufanikiwa kwa sababu wanachukua hatua kila siku kufikia malengo yao. Wana mwelekeo wa vitendo kuliko maneno. Kwa upande mwingine, watu wazuri wana mwelekeo wa kuzungumza juu ya malengo yao badala ya kuchukua hatua kuyahusu.
Kufanya kazi kwa bidii = MAFANIKIO, bila kujali asili ya kazi ni - nzuri au mbaya. Hata hivyo, watu waovu wanakosa kitu kimoja tu ambacho ni 'neema ya Mungu'. Waovu wanaishi maisha bila kujali na kufurahia kile ambacho maisha huwapa.
Watu waovu hufanikiwa maishani kwa sababu hawajali wengine hufanya kila kitu ili kupata kile wanachotaka, wakati mwingine hujifanya kuwa wao ni watu wazuri ili kupata uaminifu wako basi, wako tayari kuua na kuuza roho zao kwa mfalme wao mwovu kwa sababu hawana kuridhika maishani na wanataka pesa na mamlaka.
Unamchukulia vipi mtu mwizi jambazi ambaye anavamia Bank mchana kweupe?
Unamchukulia vipi mfuasi wa shetani ambaye anatangaza ushetani hadharani?
Unamchukulia vipi mcheza picha za utupu na anayejitangaza hadharani bila hofu ?
Unamchukulia vipi mtu mdhulumati anaye dhulumu watu hadharani ?
Kwa hiyo unakuta hao ni watu wanaotumia nguvu kubwa sana kufanikisha kupata yale wanayo yataka. Nachotaka kushauri ni kwamba usiikatie tamaa kwa kazi yako ya halali, jitahidi uifanye kwa juhudi zote bila kuchoka na kwa maarifa yote na kwa gharama zote na kumtanguliza MUNGU wako mbele.
Watu waovu hufanikiwa kwa sababu ili ufanikiwe huna haja ya kuwa mtu mzuri infact huwezi kuwa mzuri sana kwa sababu ukiwa mzuri sana utawaruhusu wengine wakukanyage na kukutangulia.
Waovu, hata hivyo, hawaendi na sheria. Wanajifunza kwa haraka jinsi ya kusema uwongo kwa wengine na kuepukana nayo na wanajua tu jinsi ya kuwaumiza wengine. Wanajijali wenyewe tu na hutumia wakati na nguvu zote kufanikiwa maishani.
Ili kufanikiwa unahitaji kufanya kazi kwa bidii, kwa bidii kwelikweli na kuchagua kazi au njia ambayo itakufanya upate pesa nyingi. Kwa kweli watu wengi walio na kazi zilizofanikiwa hufanya kazi kwa bidii sana na kwa masaa mengi kwa sababu kazi zao ni ngumu sana. Lazima pia uwipambanie kazi yako kwa hivyo unaponyanganywa faida utapambana na ukosefu wa haki au ubaya.
Lakini hayo ni mafanikio ya fedha tu. Unaweza kuwa na mafanikio katika kazi yako lakini inapokuja kwa familia yako ukashindwa kabisa. "Watu waliofanikiwa" wengi hawana wakati wa kuwa na familia zao na wanapofikisha miaka 40-50 na kugundua mafanikio sio hayo waliyo nayo, wako wapweke na hakuna anayewajali kwa dhati.
Watu waovu hawafanikiwi kamwe. Ni nadharia ya macho tu kwa nje unaona wamefanikiwa lakini nyoyo zao hazina amani wala uhuru wa maisha. Usimruhusu Shetani akudanganye ili ufikirie hivyo kwa kutumia moja ya udanganyifu wake wa utambuzi. Weka imani kwa Mungu badala yake na kila wakati ujue kuwa mabaya hushindwa na mema hufanikiwa, lakini kwa masharti ya Mungu.
Ila mama D tukiachana na hayo maandiko, unaonekana ni mdada fulani unaejielewa sana, am liking you..
Have a nice night, i like you.Hata wewe uko vizuri kwenye kile unachokijua na kukiamini. Respect kwako
Umeongea ujinga mwingi kwasabab unachokiongelea kipo juu ya ufahamu wako.Dunia haina nafasi ya mnyonge, na ndio maana katika dini yetu ya kiisilamu hakuna nafasi ya kumuachia MUNGU, kila kitu watu wanatakiwa kufanya kwa juhudi zote, kwa nguvu zote na kwa maarifa yote, na MUNGU kaamrisha watu wafanye vitu kwa mtindo huo.
Hata Nabii Yahya mtoto wa Zakaria ambae Wakristo humwita Yohana mbatizaji (amani za MUNGU ziwe juu yake). MUNGU alimuamuru kufanya kazi ya dini kwa juhudi zote na kwa maarifa yote. MUNGU alimwambia Ewe Yahya chukua kitabu (Torati) kwa nguvu, yaani sambaza hayo yaliyomo kwa juhudi zote na kwa maarifa yote.
Watu waovu hufanikiwa kwa sababu ya uvumilivu wao na umoja wa kusudi (Yaani anakuwa na lengo moja hadi likamilike). Watu waovu hufanya wanavyopaswa ili kupata kile wanachotaka. Ikiwa ni muhimu kumsaliti rafiki au kumdhuru mtu ili kufikia lengo, wanafanya tu.
Hawazuiliwi na vizuizi vya kimwili na kijamii. Kwa muhtasari, watu waovu hufanikiwa kwa sababu wanachukua hatua kila siku kufikia malengo yao. Wana mwelekeo wa vitendo kuliko maneno. Kwa upande mwingine, watu wazuri wana mwelekeo wa kuzungumza juu ya malengo yao badala ya kuchukua hatua kuyahusu.
Kufanya kazi kwa bidii = MAFANIKIO, bila kujali asili ya kazi ni - nzuri au mbaya. Hata hivyo, watu waovu wanakosa kitu kimoja tu ambacho ni 'neema ya Mungu'. Waovu wanaishi maisha bila kujali na kufurahia kile ambacho maisha huwapa.
Watu waovu hufanikiwa maishani kwa sababu hawajali wengine hufanya kila kitu ili kupata kile wanachotaka, wakati mwingine hujifanya kuwa wao ni watu wazuri ili kupata uaminifu wako basi, wako tayari kuua na kuuza roho zao kwa mfalme wao mwovu kwa sababu hawana kuridhika maishani na wanataka pesa na mamlaka.
Unamchukulia vipi mtu mwizi jambazi ambaye anavamia Bank mchana kweupe?
Unamchukulia vipi mfuasi wa shetani ambaye anatangaza ushetani hadharani?
Unamchukulia vipi mcheza picha za utupu na anayejitangaza hadharani bila hofu ?
Unamchukulia vipi mtu mdhulumati anaye dhulumu watu hadharani ?
Kwa hiyo unakuta hao ni watu wanaotumia nguvu kubwa sana kufanikisha kupata yale wanayo yataka. Nachotaka kushauri ni kwamba usiikatie tamaa kwa kazi yako ya halali, jitahidi uifanye kwa juhudi zote bila kuchoka na kwa maarifa yote na kwa gharama zote na kumtanguliza MUNGU wako mbele.
Watu waovu hufanikiwa kwa sababu ili ufanikiwe huna haja ya kuwa mtu mzuri infact huwezi kuwa mzuri sana kwa sababu ukiwa mzuri sana utawaruhusu wengine wakukanyage na kukutangulia.
Waovu, hata hivyo, hawaendi na sheria. Wanajifunza kwa haraka jinsi ya kusema uwongo kwa wengine na kuepukana nayo na wanajua tu jinsi ya kuwaumiza wengine. Wanajijali wenyewe tu na hutumia wakati na nguvu zote kufanikiwa maishani.
Ili kufanikiwa unahitaji kufanya kazi kwa bidii, kwa bidii kwelikweli na kuchagua kazi au njia ambayo itakufanya upate pesa nyingi. Kwa kweli watu wengi walio na kazi zilizofanikiwa hufanya kazi kwa bidii sana na kwa masaa mengi kwa sababu kazi zao ni ngumu sana. Lazima pia uwipambanie kazi yako kwa hivyo unaponyanganywa faida utapambana na ukosefu wa haki au ubaya.
Lakini hayo ni mafanikio ya fedha tu. Unaweza kuwa na mafanikio katika kazi yako lakini inapokuja kwa familia yako ukashindwa kabisa. "Watu waliofanikiwa" wengi hawana wakati wa kuwa na familia zao na wanapofikisha miaka 40-50 na kugundua mafanikio sio hayo waliyo nayo, wako wapweke na hakuna anayewajali kwa dhati.
Watu waovu hawafanikiwi kamwe. Ni nadharia ya macho tu kwa nje unaona wamefanikiwa lakini nyoyo zao hazina amani wala uhuru wa maisha. Usimruhusu Shetani akudanganye ili ufikirie hivyo kwa kutumia moja ya udanganyifu wake wa utambuzi. Weka imani kwa Mungu badala yake na kila wakati ujue kuwa mabaya hushindwa na mema hufanikiwa, lakini kwa masharti ya Mungu.
Baada ya miaka mia sita mudi anaibuka pangoni na kumpakicha Yohana eti Yahya. Mudi angeanzisha uislam kivyake vyake kama Hindu na Budha Ingependeza. Kuliko kuiga Wakristo na wayahudi na kucopy, kupaste na kuformat.Dunia haina nafasi ya mnyonge, na ndio maana katika dini yetu ya kiisilamu hakuna nafasi ya kumuachia MUNGU, kila kitu watu wanatakiwa kufanya kwa juhudi zote, kwa nguvu zote na kwa maarifa yote, na MUNGU kaamrisha watu wafanye vitu kwa mtindo huo.
Hata Nabii Yahya mtoto wa Zakaria ambae Wakristo humwita Yohana mbatizaji (amani za MUNGU ziwe juu yake). MUNGU alimuamuru kufanya kazi ya dini kwa juhudi zote na kwa maarifa yote. MUNGU alimwambia Ewe Yahya chukua kitabu (Torati) kwa nguvu, yaani sambaza hayo yaliyomo kwa juhudi zote na kwa maarifa yote.
Watu waovu hufanikiwa kwa sababu ya uvumilivu wao na umoja wa kusudi (Yaani anakuwa na lengo moja hadi likamilike). Watu waovu hufanya wanavyopaswa ili kupata kile wanachotaka. Ikiwa ni muhimu kumsaliti rafiki au kumdhuru mtu ili kufikia lengo, wanafanya tu.
Hawazuiliwi na vizuizi vya kimwili na kijamii. Kwa muhtasari, watu waovu hufanikiwa kwa sababu wanachukua hatua kila siku kufikia malengo yao. Wana mwelekeo wa vitendo kuliko maneno. Kwa upande mwingine, watu wazuri wana mwelekeo wa kuzungumza juu ya malengo yao badala ya kuchukua hatua kuyahusu.
Kufanya kazi kwa bidii = MAFANIKIO, bila kujali asili ya kazi ni - nzuri au mbaya. Hata hivyo, watu waovu wanakosa kitu kimoja tu ambacho ni 'neema ya Mungu'. Waovu wanaishi maisha bila kujali na kufurahia kile ambacho maisha huwapa.
Watu waovu hufanikiwa maishani kwa sababu hawajali wengine hufanya kila kitu ili kupata kile wanachotaka, wakati mwingine hujifanya kuwa wao ni watu wazuri ili kupata uaminifu wako basi, wako tayari kuua na kuuza roho zao kwa mfalme wao mwovu kwa sababu hawana kuridhika maishani na wanataka pesa na mamlaka.
Unamchukulia vipi mtu mwizi jambazi ambaye anavamia Bank mchana kweupe?
Unamchukulia vipi mfuasi wa shetani ambaye anatangaza ushetani hadharani?
Unamchukulia vipi mcheza picha za utupu na anayejitangaza hadharani bila hofu ?
Unamchukulia vipi mtu mdhulumati anaye dhulumu watu hadharani ?
Kwa hiyo unakuta hao ni watu wanaotumia nguvu kubwa sana kufanikisha kupata yale wanayo yataka. Nachotaka kushauri ni kwamba usiikatie tamaa kwa kazi yako ya halali, jitahidi uifanye kwa juhudi zote bila kuchoka na kwa maarifa yote na kwa gharama zote na kumtanguliza MUNGU wako mbele.
Watu waovu hufanikiwa kwa sababu ili ufanikiwe huna haja ya kuwa mtu mzuri infact huwezi kuwa mzuri sana kwa sababu ukiwa mzuri sana utawaruhusu wengine wakukanyage na kukutangulia.
Waovu, hata hivyo, hawaendi na sheria. Wanajifunza kwa haraka jinsi ya kusema uwongo kwa wengine na kuepukana nayo na wanajua tu jinsi ya kuwaumiza wengine. Wanajijali wenyewe tu na hutumia wakati na nguvu zote kufanikiwa maishani.
Ili kufanikiwa unahitaji kufanya kazi kwa bidii, kwa bidii kwelikweli na kuchagua kazi au njia ambayo itakufanya upate pesa nyingi. Kwa kweli watu wengi walio na kazi zilizofanikiwa hufanya kazi kwa bidii sana na kwa masaa mengi kwa sababu kazi zao ni ngumu sana. Lazima pia uwipambanie kazi yako kwa hivyo unaponyanganywa faida utapambana na ukosefu wa haki au ubaya.
Lakini hayo ni mafanikio ya fedha tu. Unaweza kuwa na mafanikio katika kazi yako lakini inapokuja kwa familia yako ukashindwa kabisa. "Watu waliofanikiwa" wengi hawana wakati wa kuwa na familia zao na wanapofikisha miaka 40-50 na kugundua mafanikio sio hayo waliyo nayo, wako wapweke na hakuna anayewajali kwa dhati.
Watu waovu hawafanikiwi kamwe. Ni nadharia ya macho tu kwa nje unaona wamefanikiwa lakini nyoyo zao hazina amani wala uhuru wa maisha. Usimruhusu Shetani akudanganye ili ufikirie hivyo kwa kutumia moja ya udanganyifu wake wa utambuzi. Weka imani kwa Mungu badala yake na kila wakati ujue kuwa mabaya hushindwa na mema hufanikiwa, lakini kwa masharti ya Mungu.
Kuna mstari mwembamba sana kati ya uovu na utajiri.
Mungu akurehemu.Hapo zamani, kwa mujibu wa hadithi ambazo wayahudi wanasimulia kwenye kitabu chao kinachoitwa Biblia, walikuwa wakimuomba Mungu anaonyesha ishara kwamba yupo, ama kichaka kinachowaka au anashusha moto kutoka mbinguni ( Katika visa vya Musa na Elia).
Lakini siku hizi, kesha ukisali usiku na mchana au piga magoti hadi yachubuke, Mungu ameuchuna tu.
Inawezekana alishaamua kuacha ulimwengu ujiendee wenyewe au hata alisha kufa zamani ila sisi hatujui tu!
Wanafanikiwa kutokufanikiwa.PALE JUU UMESEMA WATU WAOVU HUFANIKIWA SANA..
WHICH IS WHICH
Dunia haina nafasi ya mnyonge, na ndio maana katika dini yetu ya kiisilamu hakuna nafasi ya kumuachia MUNGU, kila kitu watu wanatakiwa kufanya kwa juhudi zote, kwa nguvu zote na kwa maarifa yote, na MUNGU kaamrisha watu wafanye vitu kwa mtindo huo.
Hata Nabii Yahya mtoto wa Zakaria ambae Wakristo humwita Yohana mbatizaji (amani za MUNGU ziwe juu yake). MUNGU alimuamuru kufanya kazi ya dini kwa juhudi zote na kwa maarifa yote. MUNGU alimwambia Ewe Yahya chukua kitabu (Torati) kwa nguvu, yaani sambaza hayo yaliyomo kwa juhudi zote na kwa maarifa yote.
Watu waovu hufanikiwa kwa sababu ya uvumilivu wao na umoja wa kusudi (Yaani anakuwa na lengo moja hadi likamilike). Watu waovu hufanya wanavyopaswa ili kupata kile wanachotaka. Ikiwa ni muhimu kumsaliti rafiki au kumdhuru mtu ili kufikia lengo, wanafanya tu.
Hawazuiliwi na vizuizi vya kimwili na kijamii. Kwa muhtasari, watu waovu hufanikiwa kwa sababu wanachukua hatua kila siku kufikia malengo yao. Wana mwelekeo wa vitendo kuliko maneno. Kwa upande mwingine, watu wazuri wana mwelekeo wa kuzungumza juu ya malengo yao badala ya kuchukua hatua kuyahusu.
Kufanya kazi kwa bidii = MAFANIKIO, bila kujali asili ya kazi ni - nzuri au mbaya. Hata hivyo, watu waovu wanakosa kitu kimoja tu ambacho ni 'neema ya Mungu'. Waovu wanaishi maisha bila kujali na kufurahia kile ambacho maisha huwapa.
Watu waovu hufanikiwa maishani kwa sababu hawajali wengine hufanya kila kitu ili kupata kile wanachotaka, wakati mwingine hujifanya kuwa wao ni watu wazuri ili kupata uaminifu wako basi, wako tayari kuua na kuuza roho zao kwa mfalme wao mwovu kwa sababu hawana kuridhika maishani na wanataka pesa na mamlaka.
Unamchukulia vipi mtu mwizi jambazi ambaye anavamia Bank mchana kweupe?
Unamchukulia vipi mfuasi wa shetani ambaye anatangaza ushetani hadharani?
Unamchukulia vipi mcheza picha za utupu na anayejitangaza hadharani bila hofu ?
Unamchukulia vipi mtu mdhulumati anaye dhulumu watu hadharani ?
Kwa hiyo unakuta hao ni watu wanaotumia nguvu kubwa sana kufanikisha kupata yale wanayo yataka. Nachotaka kushauri ni kwamba usiikatie tamaa kwa kazi yako ya halali, jitahidi uifanye kwa juhudi zote bila kuchoka na kwa maarifa yote na kwa gharama zote na kumtanguliza MUNGU wako mbele.
Watu waovu hufanikiwa kwa sababu ili ufanikiwe huna haja ya kuwa mtu mzuri infact huwezi kuwa mzuri sana kwa sababu ukiwa mzuri sana utawaruhusu wengine wakukanyage na kukutangulia.
Waovu, hata hivyo, hawaendi na sheria. Wanajifunza kwa haraka jinsi ya kusema uwongo kwa wengine na kuepukana nayo na wanajua tu jinsi ya kuwaumiza wengine. Wanajijali wenyewe tu na hutumia wakati na nguvu zote kufanikiwa maishani.
Ili kufanikiwa unahitaji kufanya kazi kwa bidii, kwa bidii kwelikweli na kuchagua kazi au njia ambayo itakufanya upate pesa nyingi. Kwa kweli watu wengi walio na kazi zilizofanikiwa hufanya kazi kwa bidii sana na kwa masaa mengi kwa sababu kazi zao ni ngumu sana. Lazima pia uwipambanie kazi yako kwa hivyo unaponyanganywa faida utapambana na ukosefu wa haki au ubaya.
Lakini hayo ni mafanikio ya fedha tu. Unaweza kuwa na mafanikio katika kazi yako lakini inapokuja kwa familia yako ukashindwa kabisa. "Watu waliofanikiwa" wengi hawana wakati wa kuwa na familia zao na wanapofikisha miaka 40-50 na kugundua mafanikio sio hayo waliyo nayo, wako wapweke na hakuna anayewajali kwa dhati.
Watu waovu hawafanikiwi kamwe. Ni nadharia ya macho tu kwa nje unaona wamefanikiwa lakini nyoyo zao hazina amani wala uhuru wa maisha. Usimruhusu Shetani akudanganye ili ufikirie hivyo kwa kutumia moja ya udanganyifu wake wa utambuzi. Weka imani kwa Mungu badala yake na kila wakati ujue kuwa mabaya hushindwa na mema hufanikiwa, lakini kwa masharti ya Mungu.
Umeshawahi kushuhudia mlipa kodi akikamatwa na mamlaka namna wajihi wake unavyokuwa?Mkwepa kodi nae ni muovu??
Vipi nae hajisikii vizuri moyoni mwake??