Hii ndiyo sababu watu waovu hufanikiwa sana

Quran na Bible havipatani ndugu, hata Isa bin Mariam anayetajwa na Quran kuwa ni Yesu sio kweli, Isa ni Isa na Yesu ni Yesu yaani ni watu wawili tofauti kabisa.

Vivyo hivyo Yahya ni Yahya na Yohana mbatizaji ni Yohana mbatizaji ni watu wawili tofauti kabisa. Kama umewaamini Google umepigwa ngosha
Uko sahihi kabisa kwa uchache wa ufahamu wako ila unachokosea ni kutosema utofauti wao ukawatofautisha ili tukuelewe
 
Binadamu wenye roho mbaya na katili mara nyingi ndiyo hua wenye mafanikio makubwa...
 
Uko sahihi kabisa kwa uchache wa ufahamu wako ila unachokosea ni kutosema utofauti wao ukawatofautisha ili tukuelewe
1. Majina ya Mungu ktk Biblia ni Jehovah, Jehovah nisi, Mungu mkuu nk, hakuna jina la Allah ktk Bible

2. Hakuna jina la Isa bin Mariam ktk Biblia ila kuna jina la Yesu Kristo jina lenye nguvu, pia hakuna jina la Yesu Kristo ktk Quran.

3. Biblia inafundisha kuwa Mungu ni mmoja ktk utatu mtakatifu yaani Mungu Baba, Mungu mwana (Yesu Kristo) na Roho Mtakatifu.

Quran haifundishi hivyo.

Hizo ni baadhi tu ya tofauti kubwa za Biblia na Quran.
 
Kunirehemu ndio kunisamehe?, au ni kufanyaje?
Umesoma mpaka la ngapi hadi usijue maana ya "rehema" ndugu?

Basi ngoja nibadilishe kiswahili kwa kusema "Mungu akusamehe"

Ushauri :
Ifanye Google kuwa rafiki yako kwa kupita huko kila upatapo msamiati mpya usiojua maana yake, hakika hautakuwa na maswali ya kitoto kuuliza uliza hapa.
 
Waovu hupata maendeleo sio mafanikio. Ndio maana hufa mapema tena vifo vya utata.
 
Umesoma mpaka la ngapi hadi usijue maana ya "rehema" ndugu?

Basi ngoja nibadilishe kiswahili kwa kusema "Mungu akusamehe"

Ushauri :
Ifanye Google kuwa rafiki yako kwa kupita huko kila upatapo msamiati mpya usiojua maana yake, hakika hautakuwa na maswali ya kitoto kuuliza uliza hapa.
Nimesoma hadi la tatu B.

Ila nilipokuwa la pili, nilifundishwa kwamba kuuliza si ujinga, sikuambiwa kuwa maswali ya kitoto hayatakiwi kuulizwa. Nilikuwa bado nina maswali, lakini kwa kuwa umekereka na maswali kwamba ni ya kitoto niende kumuuliza Google, Basi naachana na wewe.

Inaonekana mliosoma sana hampendi maswali, mnadhani kila mtu tu anajua kama nyinyi.
 
Sijajua sababu ya wewe kuwa na simu janja kiganjani huku ukiulizia ulizia kwa watu maana ya misamiati isiyoijua

Nadhani ukibaki na kitochi unayo haki ya kuuliza uliza ili ile methali ya "kuuliza sio ujinga" ikae pahali pake
 
Sikia ndugu, Jf ni Jukwaa kwa ajili ya majadiliano, ninapouliza kitu, nauliza ili tukijadili.

Unaponiambia nikaulize Google, nakosa mantiki kwa sababu hii mada sijadili na Google.
 
Ndio Unaruhusiwa kuuliza kama vile mimi ninavyoruhusiwa kuhoji swali lako la kizwazwa, si kila swali ni swali ndugu
 
Na huwa sijui kwanini watu waovu huishi miaka mingi pia
Hapa Mungu katupatia fumbo, huenda anaona hawana cha kupata baada ya maisha ya hapa zaidi ya kuunguzwa tu Jehanamu, au anawavumilia wabadilike kwa kuungama dhambi zao ili nao waweze kuurithi ufalme wa milele.
 
Back
Top Bottom