Hii ndiyo sababu watu waovu hufanikiwa sana

Ila mama D tukiachana na hayo maandiko, unaonekana ni mdada fulani unaejielewa sana, am liking you..
 
Ili ufanikiwe unatakiwa uwe ruthless na stingy na sio mchapakazi tu haitoshi

Ili ufanikiwe unatakiwa uwe na luck means uwezo wa kuweka opportunity, time, people na demand kwenye equilibrium
 
Hii ni kweli kabisa, angalia Wana CCM baadhi wanavyotunyonya, Yaani mtu anatumia Waziri kuwa Marketing Manager Wake dah
 
Umeongea ujinga mwingi kwasabab unachokiongelea kipo juu ya ufahamu wako.

Kiufupi hujui unalolisema
 
Baada ya miaka mia sita mudi anaibuka pangoni na kumpakicha Yohana eti Yahya. Mudi angeanzisha uislam kivyake vyake kama Hindu na Budha Ingependeza. Kuliko kuiga Wakristo na wayahudi na kucopy, kupaste na kuformat.

Mudi anakera
 
Kuna mstari mwembamba sana kati ya uovu na utajiri.
 
Mungu akurehemu.
 


Hii hadithi yako ni full self contradictory. UOVU ni mafanikio??!!
 
Sio kweli

Mfano kwenye nchi mataifa yote yaliyofanikiwa duniani yana uhusiano na Mungu nikupe Mfano Taifa la Israel limefanikiwa sana sababu ni watoto Wa Ibrahim kupitia Isaka.Mungu alimwambia Ibrahim nitakubariki wewe na uzao wako.Ibrahim alizaa watoto wawili wa kiume Isaka na Ishmael. Isaka ndie baba wa wayahudi na Ishmael ndie baba wa waarabu .Hivyo utajiri wa waarabu unatokana na Baraka za Ibrahim ambazo Mungu alimwambia atambariki yeye I Rahim na uzao wake ukiwemo uzao wa Isaka na Ishmael.Kwa hiyo wayahudi na waarabu siri ya kuwa hivyo walivyo.na utajiri wao source ni Mungu
 
Na huwa sijui kwanini watu waovu huishi miaka mingi pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…