Mobalikitoko
Member
- Jan 4, 2022
- 61
- 59
Uko sahihi kabisa kwa uchache wa ufahamu wako ila unachokosea ni kutosema utofauti wao ukawatofautisha ili tukueleweQuran na Bible havipatani ndugu, hata Isa bin Mariam anayetajwa na Quran kuwa ni Yesu sio kweli, Isa ni Isa na Yesu ni Yesu yaani ni watu wawili tofauti kabisa.
Vivyo hivyo Yahya ni Yahya na Yohana mbatizaji ni Yohana mbatizaji ni watu wawili tofauti kabisa. Kama umewaamini Google umepigwa ngosha
GOODWanafanikiwa kutokufanikiwa.
1. Majina ya Mungu ktk Biblia ni Jehovah, Jehovah nisi, Mungu mkuu nk, hakuna jina la Allah ktk BibleUko sahihi kabisa kwa uchache wa ufahamu wako ila unachokosea ni kutosema utofauti wao ukawatofautisha ili tukuelewe
Kunirehemu ndio kunisamehe?, au ni kufanyaje?Mungu akurehemu.
Umesoma mpaka la ngapi hadi usijue maana ya "rehema" ndugu?Kunirehemu ndio kunisamehe?, au ni kufanyaje?
Nimesoma hadi la tatu B.Umesoma mpaka la ngapi hadi usijue maana ya "rehema" ndugu?
Basi ngoja nibadilishe kiswahili kwa kusema "Mungu akusamehe"
Ushauri :
Ifanye Google kuwa rafiki yako kwa kupita huko kila upatapo msamiati mpya usiojua maana yake, hakika hautakuwa na maswali ya kitoto kuuliza uliza hapa.
Sijajua sababu ya wewe kuwa na simu janja kiganjani huku ukiulizia ulizia kwa watu maana ya misamiati isiyoijuaNimesoma hadi la tatu B.
Ila nilipokuwa la pili, nilifundishwa kwamba kuuliza si ujinga, sikuambiwa kuwa maswali ya kitoto hayatakiwi kuulizwa. Nilikuwa bado nina maswali, lakini kwa kuwa umekereka na maswali kwamba ni ya kitoto niende kumuuliza Google, Basi naachana na wewe.
Inaonekana mliosoma sana hampendi maswali, mnadhani kila mtu tu anajua kama nyinyi.
Sijajua sababu ya wewe kuwa na simu janja kiganjani huku ukiulizia ulizia kwa watu maana ya misamiati isiyoijua
Nadhani ukibaki na kitochi unayo haki ya kuuliza uliza ili ile methali ya "kuuliza sio ujinga" ikae pahali pake
Sikia ndugu, Jf ni Jukwaa kwa ajili ya majadiliano, ninapouliza kitu, nauliza ili tukijadili.
Unaponiambia nikaulize Google, nakosa mantiki kwa sababu hii mada sijadili na Google.
Ndio Unaruhusiwa kuuliza kama vile mimi ninavyoruhusiwa kuhoji swali lako la kizwazwa, si kila swali ni swali nduguSikia ndugu, Jf ni Jukwaa kwa ajili ya majadiliano, ninapouliza kitu, nauliza ili tukijadili.
Unaponiambia nikaulize Google, nakosa mantiki kwa sababu hii mada sijadili na Google.
Hapa Mungu katupatia fumbo, huenda anaona hawana cha kupata baada ya maisha ya hapa zaidi ya kuunguzwa tu Jehanamu, au anawavumilia wabadilike kwa kuungama dhambi zao ili nao waweze kuurithi ufalme wa milele.Na huwa sijui kwanini watu waovu huishi miaka mingi pia
Pamoja sana ndugu.Ndio Unaruhusiwa kuuliza kama vile mimi ninavyoruhusiwa kuhoji swali lako la kizwazwa, si kila swali ni swali ndugu
Sawa nduguPamoja sana ndugu.