Hii ndiyo sababu ya matajiri kuwa na watoto wachache

Hii ndiyo sababu ya matajiri kuwa na watoto wachache

Kweli mila za muafrica halisi zimeyeyuka wajameni, khaa!

All left just some mere assimilated neo-colonized mofos
 
Watoto wengi ninkuanzia wangapi mkuu? Nafikiri kila mtu azae kwa kadiri anavyoweza kutunza watoto wake!!!!
Kwa swali lako mkuu kifupi ni hivi zaa kulingana na uwezo wa matumizi yako...na ubakize kwa ajili ya maisha yako.....


Shida moja inakuja mtu anazaa kuliko vile anavyoweza anatumia uzazi wake KUBETI-kizazi chake anakitumia kama sehemu itakayo kuja kumkomboa na sio wajibu wake.
 
Mbona kuna maskini matasa hawajazaa ila bado maskini akuna ajuae sili ya mafanikio ya mtu na kl mtu anafanikiwa kwanjia zake

Ni sawa sawa na akuna ajuae sili yakuishi umri mrefu ni bas tu tunabahatisha na wengne tunajifanya makocha tunajua ila ukwel akuna ajuae sili yakuishi miaka ming

So komaa pambana wacha polojo na longolongo zisizo na maana
 
Back
Top Bottom