kibangubangu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 272
- 353
- Thread starter
- #41
Labda wangezaa wangekua makini zaidi yahapoMbona kuna maskini matasa hawajazaa ila bado maskini akuna ajuae sili ya mafanikio ya mtu na kl mtu anafanikiwa kwanjia zake
Ni sawa sawa na akuna ajuae sili yakuishi umri mrefu ni bas tu tunabahatisha na wengne tunajifanya makocha tunajua ila ukwel akuna ajuae sili yakuishi miaka ming
So komaa pambana wacha polojo na longolongo zisizo na maana
Unajua kwanini maisha ni mahitaji na mahitaji ni namba na kama ni namba basi hizo namba ni pesa na kama ni pesa zinatakiwa zitumike..na kama zitatumika zitaisha
ili kuokoa zisiishe hakikisha una balance equilibrium![emoji23]