Hii ndiyo sababu ya pengo la maendeleo kati ya Wakristo na Waislamu kwetu Watanzania wa asili

Hii ndiyo sababu ya pengo la maendeleo kati ya Wakristo na Waislamu kwetu Watanzania wa asili

Wakati mnajihesabu hayo makundi mawili, mlishawatoa
1) Atheists
2)Africa Traditionalist
3) Rastafari

Ili mjadala wenu unoge?
Ikiwa sivyo, basi ubishi huu hauna afya Wala mantiki
Mjnority vs majority
 
Kitu ambacho mpaka Leo kwenye uislamu sijakielewa ni kipinga riba ila wao wanataka faida, How?
 
Ikulu ni chuo/madrasa na ocean road hospital ilikua mabweni

Kimsingi nchi hii kanisa limekua likipewa sehemu ya kodi inayokusanywa kwa wote tangu ukoloni wa mjerumani, mkapa alijua kanisa limeila hazina kiasi gani,akaona aibu akawapa waislam majengo ya chuo cha tanesco
Hiyo historia ya ocean road umeitoa wap? Ocean road ilijengwa na wajerumani kwa ajili kufanya utafiti wa magonjwa ya malaria na Kifua kikuu kwa manufaa ya wajerumani na siyo kama unavyosema wewe kuwa ilikuwa bweni.Na ikulu.
 
Acha ujinga wewe,kuna chumba pale ocean road kama siyo cha x ray kina kibla(Mihrab) kama unavyoona misikiti mbele kuna tumbo limetokeza kwa nje
Mnadanganyana walijenga wajerumani kutafiti malaria
 
Hizi ni stori za kwenye vijiwe vya kahawa huko Chalinze. Nilishangaa mpaka Ridhiwani anatema hii pumba.

Ikulu ya Dar esSalaam ilijengwa na WAJERUMANI na Wajerumani siyo Waislam.
Huo ujinga wa kujengwa na mjerimani mnalishana huko kwenye vikao vya mvinyo,pale ikulu ndiyo dar ul salaam(dar es salaam) penyewe,yaani nyumba(dari) ya salama(amani)
Wenye mji wakwambie hivi we kutoka ileje useme vile, walau wenzako huwa hawakatai bali hudai mjerumani aliinunua ikulu kwa mwarabu
Lakini ukweli mjerumani hawezi nunua kwa ubabe ule, maana hata lilipo kanisa pale bandarini palikua na msikiti,wavuvi wakiswali, mjerumani akapora
 
Hakuna haja ya kuwataja kashuhudie mwenyewe upime ratio, utapata majibu yako bila chenga

Nenda hata kariakoo hapo fuatilia kina nani wameshika biashara ya hapo

Nenda migodini Kahama, Geita, Chunya, n.k. Fuatilia na upime ratio

Nenda kampuni za mabasi ya mikoani wengi wametoka Moshi fuatilia huko wamejaa watu gani

Nenda kwenye biashara za kuuza mbao huko Mafinga
Yaani watu Wana bilioni 1-5 unawaita matajiri!?..hiyo kariakoo kabla ya 2014 kuja wakinga na hela za mbao,ilijaa wapemba na waswahili wa pwani,wabara walikua wachaga na ni wachache,mchaga mwenye mabasi mikoani si ni huyo wa morogoro,kuna mchaga gani mwingine anafikia huyo wa moro?
 
Una akili timamu!?
Anahoja....
Kuna wakati nilisafiri kwenda Arusha kutafuta soko la mazao; Ilikuwa mwezi wa Ramadhani hivyo nilitaka niwauzie Mchele. Yaani ule muda wa kufuturu; barabara za mjini kati magari yalipungua kwa kama 82%
hata nikawa nawaza, inamaana takriban 80% ya wanaoendesha ule mji ni waislam?
 
Ni kama miji mingi Tanzania ambavyo huwa inapoa Jumapili.
 
Yaani watu Wana bilioni 1-5 unawaita matajiri!?..hiyo kariakoo kabla ya 2014 kuja wakinga na hela za mbao,ilijaa wapemba na waswahili wa pwani,wabara walikua wachaga na ni wachache,mchaga mwenye mabasi mikoani si ni huyo wa morogoro,kuna mchaga gani mwingine anafikia huyo wa moro?
Acha kuongelea maji yaliyomwagika hayawezi kuzoleka, ongelea present, Kariakoo imeshikwa na hao uliowataja na wengi wao ni wakristo haina mjadala

Mabasi

1

mtei exp ni ya mchaga anAitwa mtei
hai exp ya mchaga
hapy nation ya mchaga
Osaka raha ya mchag
princes muro ya mchaga
machame safar,
lim safari za mchaga
bm ya mchaga(blaise makundi)
dar exp MZEE mremi
meridian exp mchaga
IBRA line mchaga
ester exp mchaga
tilisho exp mchaga
kidia one mchaga
Kisbo ni mchaga
 
Ukija kwa upande wa waislam hata vyuo vimekuwa changamoto kuvijenga, na hata kilichopo pale Morogoro baadhi hukikimbia kwa skendo zilizopo ikiwemo video iliyowahi kusambaa ikionyesha wanafunzi wakichapwa viboko
Hii mada nadhani hainifahi Ibilisi yupo kazini watu watacharurana hapa sio kidogo tukumbuke sisi sote chanzo ni Abrahamu alimpata Isaka kwa mkewe Sarah akampata Ishmael kwa mjakazi wa mkewe Hajri, mengine tuache mbwembwe

Gumzo za kipambe
 
Anahoja....
Kuna wakati nilisafiri kwenda Arusha kutafuta soko la mazao; Ilikuwa mwezi wa Ramadhani hivyo nilitaka niwauzie Mchele. Yaani ule muda wa kufuturu; barabara za mjini kati magari yalipungua kwa kama 82%
hata nikawa nawaza, inamaana takriban 80% ya wanaoendesha ule mji ni waislam?
Unazungumzia Arusha ipi hio ?

Arusha wakazi wake wengi ni wameru, warusha, wachaga, wapare, wambulu ambao kwa percent kubwa ni wakristo

Lakini pia wapo warangi kama kina Dogo Janja, na wengi wao ni waislam, wana mitaa waliyojaa kama Ngarenoro,

Jiji la Arusha hasa center linaendeshwa na makampuni ya tours, hotels, maduka, n.k. ambayo kwa asilimia kubwa ni ya wachaga ambao wengi ni wakristo.
 
Yaani watu Wana bilioni 1-5 unawaita matajiri!?..hiyo kariakoo kabla ya 2014 kuja wakinga na hela za mbao,ilijaa wapemba na waswahili wa pwani,wabara walikua wachaga na ni wachache,mchaga mwenye mabasi mikoani si ni huyo wa morogoro,kuna mchaga gani mwingine anafikia huyo wa moro?
Nenda kakamue mavi maiti.
 
Waislamu wao wanajua kulala misikitini tu mchana na kugombania ubwabwa
 
Acha kuongelea maji yaliyomwagika hayawezi kuzoleka, ongelea present, Kariakoo imeshikwa na hao uliowataja na wengi wao ni wakristo haina mjadala

Mabasi

1

mtei exp ni ya mchaga anAitwa mtei
hai exp ya mchaga
hapy nation ya mchaga
Osaka raha ya mchag
princes muro ya mchaga
machame safar,
lim safari za mchaga
bm ya mchaga(blaise makundi)
dar exp MZEE mremi
meridian exp mchaga
IBRA line mchaga
ester exp mchaga
tilisho exp mchaga
kidia one mchaga
Kisbo ni mchaga
Esther siyo mwigulu tena?..kisbo mchaga ila muislam sana
Kuna kampuni nyingi za mabasi nchi hii
 
Back
Top Bottom