Sawa hakuna sehemu nimekataa watu wasizunguke popote kutafuta maisha
Pia cha ajabu, mkitoka huko maporini kwenu kwenye tembe za tope na kuja mfano Dar mnaanza kulinganisha maeneo kama Mbagala na Masaki kuwianisha uhusiano wa kidini kuwa Mbagala kumejaa waislamu ndio maana masikini, Masaki kumejaa wakristo kumejaa matajiri, wakati kwanza unasahau umetoka kwenye tembe la matope vijijini kwenu, na pili Mbagala ni watu binafsi wamiliki, na Masaki ni wafanya kazi wa serikali watumishi, hawamiliki hizo nyumba.
Na tukirudi kwenye mahospitali ya makanisa, tukiacha vidispesari, Je ajira ya madaktari wa Bugando na KCMC huwa zinalipwa na nani? hapo ndio unaona huwa mnalopoka tu bila utafiti, hata kama inamilikiwa na Kanisa, ni serikali ndio inaendesha hizo hospitali.
Kariakoo imeshikiliwa na wahindi na waarabu, usibabaishwe na wauza duka wa kichaga na wakinga, karibia asilimia 90 ni wapangaji humo.
Unaona hayo majengo Kariakoo yanayonunuliwa na kuvunjwa na kujengwa upya, unajua ni nani wanafanya hivyo? kwa taarifa yako hakuna mkinga wala mchaga?
Majibu yako yameshaonesha umekiri kukubali hoja yangu kiasi kwamba umekosa mifano hadi umerukia kwa wahindi na waaarabu.
Gharama za kujenga hospitali mpya ni kubwa sana, Serikali iliona kama kuna hospitali za taasisi za kidini zinazotoa huduma nzuri na bajeti ni finyu ni bora zaidi kuwekeza kwenye hizo hospitali kuokoa gharama.
Nje ya hizo hospitali zipo zinazojiendesha zenyewe zina huduma nzuri tu, sio hospitali tu ukija kwenye elimu shule kibao zinazoongoza kitaifa zinaendeshwa na taasisi za kikristo, Kuna vyuo vikubwa pia kama SAUT, Universtiy of Arusha, Ruaha, Cuom, n.k.
Usichojua ni kwamba majengo yanalipa kidogo sana kuzidi wanaofanya biashara, ni basic principle assents zenye risk ndogo zinarudisha pesa taratibu sana, hata nyumba ya kupangisha ukijenga leo faida unaweza kuipata baada ya miaka 20, wanaofanya biashara ndio hunufaika zaidi, mtu anaingiza milioni 150 kila mwezi itamshinda kodi ya milioni 3 ?
Kuna majengo mengi sana hapo kariakoo wameshavuliwa wenyeji, Baba akifariki watoto wengi huyauza kila mtu asepe na chake.
Orodha hii ni mifano michache tu ya Maghorofa yanayomilikiwa na baadhi ya wachaga ambao wengi ni wakrtiso, bado sijataja wakinga
MAGOROFA k/koo
kwa emma gerezani gorofa tano na biashara ya jumla ya vinywaji agent wa breweries ilala
primi mushi gorofa zaidi ya 20 na matawi yote ya akiba bank yako kwenye nyumba zake k/koo ni mfanybiashara mkubwa wa kitenge tanzania na congo ana gorofa tanga na arusha gorofa moja ya narungombe
alyoce kimbori zaidi ya gorofa 10 dar na mwanza
bosco chuwa gorofa zaid ya 7 arusha na k/koo
yohana kweka zaid gorofa 5
masai kuringe/kuringe halls moshi wa boro kibosho zaid ya gorofa 20 ndio mwenye red stone moshi na gorofa arusha
masumbuo zaid ya gorofa 5
koka mbunge wa kibaha gorofa 5 ikiweo mrieny tower jagwani street ako catering,viwanda na makampuni ya zaidi ya ishirini
mzee temba gorofa 3
chuwa mchikichi na livingstone zaid y agorofa 10 kaoa mchina
mariam tower lindi na shaurimoyo street
mbokomu tower gerezani na zaid ya nyumba 5 na biashara chuma jumla
house of bolt na nyumba zaidi ya 3 mr mariwa muuzaji wa bolt jumla na kiwanda cha bolt
thomas lyimo zaid gorofa3 uhru na msimbaz mgahawa,muhimbili na akiba
herman woiso magorofa na woiso origina products viwanda
el shaddai pazia carpert mashuka nk mmachame
saba berings magorofa na spare parts na hardware agent wa king long motor cycle
hai agency spare parts
okinawa pharmacy -massao
frank knows nguo
saroi mushi viatu vya kike agent na magorofa k/koo saroi bar mabibo saroi bar kimara mwishi njia kingongo
masumbuo chuwa aluminam n magorofa k/koo na kibo social hall kimara
mama chuwa gorofa na kitenge
mjapan bar tip top mjapan complex tegeta na hardware k/koo
mtoto wa thomas lyimo agent wa rangi gerezan
mwalimu hardware biashara ya chuma