NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
Duuh!Wewe ni mpvmbavu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh!Wewe ni mpvmbavu.
Waambie CCM na JIWE wao, kwanza:
- Wawaombe msamaha wanaMTWARA kwa kuwapelekea jeshi liwapige na kuwaua kwasababu ya GESI ambayo ni MALI YAO.
Mwambie JIWE, CCM na BUNGE wawaombe msamaha wananchi kwa kupitisha mikataba YA GESI YA MTWARA kwa MBWEMBWE na kugonga MEZA huku wakirukaruka juu.
Mwambie JIWE, BUNGE na CCM yake wawaombe WAPINZANI msamaha kwa kuwaita WASALITI walipokuwa wanapinga mikataba ambayo JIWE leo anasema kwenye GESI hatupati kitu.
Baada ya hapo ndio waje na stori zao za STRIGLE'R GERGE tuwasikilize !!
Na wana juwa mwisho wetu na siku ya kuja kuyachukuwa!!Nilishangaa Jana kusikia bunge LA ujerumani wakijadili kuhusu mradi huu kumbe hawa wakoloni walishagundua miaka mingi site nyingi za madini afrika na ndio kisa sehemu nyingi nchini waliacha alama zao nasikia huwa wanakuja wanaangalia wanaondoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wezi tu, sisi tuna hifadhi zaidi ya kumi, hata Serikali ikiamua kuifuta hifadhi hii bado ni sawa tu, hatuwezi kuendelea kuwa masikini wakati tuna madini mengi tu yanayoweza kutuletea utajiriNilishangaa Jana kusikia bunge LA ujerumani wakijadili kuhusu mradi huu kumbe hawa wakoloni walishagundua miaka mingi site nyingi za madini afrika na ndio kisa sehemu nyingi nchini waliacha alama zao nasikia huwa wanakuja wanaangalia wanaondoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria zile zile, viongozi wale wale, matamko Yale Yale.Mbuga ni yetu, wanyama wetu, umeme wetu, bwawa letu, madini yetu, kwanini watupangie?, tunajenga bwawa kuzalisha umeme wa viwanda, tunachimba uranium kutengenezea bidhaaa na tunalinda hifadhi kuvutia wataliii. Hadi tuwe donor country
@cocochanel .. unaweza kumsaidia jiwe kujibu hizi hoja !!?Waambie CCM na JIWE wao, kwanza:
- Wawaombe msamaha wanaMTWARA kwa kuwapelekea jeshi liwapige na kuwaua kwasababu ya GESI ambayo ni MALI YAO.
Mwambie JIWE, CCM na BUNGE wawaombe msamaha wananchi kwa kupitisha mikataba YA GESI YA MTWARA kwa MBWEMBWE na kugonga MEZA huku wakirukaruka juu.
Mwambie JIWE, BUNGE na CCM yake wawaombe WAPINZANI msamaha kwa kuwaita WASALITI walipokuwa wanapinga mikataba ambayo JIWE leo anasema kwenye GESI hatupati kitu.
Baada ya hapo ndio waje na stori zao za STRIGLE'R GERGE tuwasikilize !!
Serikali ya ccm na rushwa ni sawa na fisi na mizogaWakipewa mshiko watakubali maana huwezi kuwatenganisha na rushwa
Una maana ile ya jk ukila lazima uliwe?Hivi Kwanini huwa tunapenda boga tu hatupendi na UA lake?
Hapa ndio huwa naona Akili zetu kama haziko sawa!
Hao hao wakikaa kujadili namna ya kuipatia msaada Tanzania tunawaona wamaana sana ila upande wa pili tunajifanya hatupangiwi!
Ungemuandikia kwa herufi kubwa kabisa.Wewe ni mpvmbavu.
Mkuu changia mada acha matusiUngemuandikia kwa herufi kubwa kabisa.
Yani stori kama hizi angetakiwa akawambie watu wa vjijini yeye na pole pole.
nyau kabisa
Uranium inatumika kutengeneza silaha za NuclearKunajambo hapo hata Mimi nilishangaa ki aina kuhusu hili swala kwahiyo uranium inautajiri kiasi gani?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua pamoja na watu kumchukia Jiwe lakini naona akili zao zina matatizo hivi kweli Ujerumani imeshindwa kuwasaidia wahindi wekundu kule Marekani wanavyoteswa na makampuni makubwa kupitisha bomba la mafuta kwenye maeneo yao ya jadi, pamoja na kuchafuliwa mazingira japo Baraka Obama alisitisha Leo Trump kauruhusu ati wanatupenda sana sisi watanzania. Na mijitu hapa kwa matatizo yao na Jiwe inaunga mkono. Tangu lini Mjerumani anakujali wewe Mtanzania? Misaada yote wanayoileta ina manufaa zaidi kwao kuliko kwetu.Ni wezi tu, sisi tuna hifadhi zaidi ya kumi, hata Serikali ikiamua kuifuta hifadhi hii bado ni sawa tu, hatuwezi kuendelea kuwa masikini wakati tuna madini mengi tu yanayoweza kutuletea utajiri
Na kuzalisha umeme, matibabu, vipimo hospitalini, rangi, mapambo, silaha za nguvu kiasi za nyuklia n.k.Uranium inatumika kutengeneza silaha za Nuclear
Ila nijuavyo mimi JIWE the Boss kiboko ya wabongo wazembe na wavivu hawezi ku give upNa kuzalisha umeme, matibabu, vipimo hospitalini, rangi, mapambo, silaha za nguvu kiasi za nyuklia n.k.
Watapitia kwenye chama ccm maana huko ndiyo kuna kichaka cha mafisadiIla nijuavyo mimi JIWE the Boss hawezi ku give up
Hawawezi kwa Jiwe labda wamfanye kama kiongozi wa ma BAGA Fresh Tundu Lissu. Tatizo watanzania wanamchukai magufuli kwa mengi. Angalia hapaWatapitia kwenye chama ccm maana huko ndiyo kuna kichaka cha mafisadi
Kabisa! Na kama hawana nia njema mbona kila Siku tunawaalika kuhurudhuria mikutano ya ufunguzi wa miradi?