Waambie CCM na JIWE wao, kwanza:
- Wawaombe msamaha wanaMTWARA kwa kuwapelekea jeshi liwapige na kuwaua kwasababu ya GESI ambayo ni MALI YAO.
Mwambie JIWE, CCM na BUNGE wawaombe msamaha wananchi kwa kupitisha mikataba YA GESI YA MTWARA kwa MBWEMBWE na kugonga MEZA huku wakirukaruka juu.
Mwambie JIWE, BUNGE na CCM yake wawaombe WAPINZANI msamaha kwa kuwaita WASALITI walipokuwa wanapinga mikataba ambayo JIWE leo anasema kwenye GESI hatupati kitu.
Baada ya hapo ndio waje na stori zao za STRIGLE'R GERGE tuwasikilize !!