Hii ndiyo sababu ya Wajerumani kupinga mradi wa umeme katika bwawa la Stiegler's Gorge

Hii ndiyo sababu ya Wajerumani kupinga mradi wa umeme katika bwawa la Stiegler's Gorge

Kabisa! Na kama hawana nia njema mbona kila Siku tunawaalika kuhurudhuria mikutano ya ufunguzi wa miradi?
Mimi sikubaliani na hiyo ya JK ya ukila na wewe ukubali kuliwa, ukiwa na akili unaweza kula bila kuliwa
 
Tanzania ni moja ya nchi Tajiri sana barani Afrika.

Huu ndo wakati wa kutumbua hilo na kila mtanzania apate ufahamu au afunguke akili ambayo twaita "Age of Enlightenment".

Hali hii ilitokea huko barani Ulaya kwenye karne ya 18, sasa ni karne ya 21 ni zamu ya Tanzania.

Watanzania tumezugwa vya kutosha tangia uhuru sasa ni wakati wa kuamka na kutembea, sio kunywa chai na kurudi kulala.
 
CONNECTING DOTS...NDIO MAANA LISSU KAKIMBILIA KWA BALOZI WA UJERUMANI
 
Yaani UNESCO waliapprove kusogeza mpaka wa urithi wa dunia ili wachimbe Uranium, ila sisi kujenga bwawa wanadai tunaharibu mazingira, wakati kiukweli tutaokoa miti mingi inayokatwa kwa ajili ya nishati maana umeme utakuwa bei nafuu, shenzi kabisa!
 
Akili za Ki CCM nazo ni janga sana. Sisi CCM wenye akili zetu tunaona huu ujinga tunashangaa sana. Yaani kuna madini hayo serikali imegundua then kwa nini sasa isichimbe ikauza tukapata pesa za kigeni?
 
Kumbe wajerumani wanafahamu kuna madini mengi na ya thamani kubwa ukiacha uranium ya aina mbalimbali eneo hilo la bwawa la stieglers gorge, wanajua tukianza mradi huo tutayagundua yote na kuanza kuyachimba ndiyo maana wanaweka vikwazo ili ikiingia madarakani serikali dhaifu wairubuni na kuyachimba soma hapa uone utajiri uliopo huko TANZANIA
Kwa hiyo mnaojua kuna madini huko ni wewe na Wajerumani? Hongera sana

Tatizo hujui kiingereza. HUyo Maswi amejua akati wanachimba mashimo ya mradi wa umeme kwa sababu huwa wanauchunguza udongo. Na bado amesema ni gharama sana kuyachimba. Hao Wajerumani walijuaje kuna madini, walipiga ramli?
 
Waambie CCM na JIWE wao, kwanza:

- Wawaombe msamaha wanaMTWARA kwa kuwapelekea jeshi liwapige na kuwaua kwasababu ya GESI ambayo ni MALI YAO.

Mwambie JIWE, CCM na BUNGE wawaombe msamaha wananchi kwa kupitisha mikataba YA GESI YA MTWARA kwa MBWEMBWE na kugonga MEZA huku wakirukaruka juu.

Mwambie JIWE, BUNGE na CCM yake wawaombe WAPINZANI msamaha kwa kuwaita WASALITI walipokuwa wanapinga mikataba ambayo JIWE leo anasema kwenye GESI hatupati kitu.

Baada ya hapo ndio waje na stori zao za STRIGLE'R GERGE tuwasikilize !!
Gesi ni mali ya watanzania wote
 
Back
Top Bottom