Kweni wachezaji waloifunga Al ahly ndo Hawa waliopo sasa?
Ambulance ziwepo kwa wingi.Amani ya bwana iwe nanyi wana wa MUNGU.
Kuelekea mechi dume jumamosi, mechi ambayo kila mtanzania anaisubiri kwa hamu, mechi ambayo kila mwafrika mpenda soka anaamini raja casablanca anenda kupata mateso makali kwa mkapa jumamosi, mechi ambayo hata watani wanaamini mwarabu ameyakanyaga
Basi napenda jumamosi akutane na ile simba ilomfanya kocha wa kaizer chief aone muda unaenda kwa speed ya kinyonga, simba ambayo inakushambulia muda wote, simba ambayo mo husein akikamata bali anakuja kwa nguvu, ile ambayo kapombe akipewa kabumbu anakufata mpaka ukome, simba ambayo chama akipewa gozi, wanasimba wote wanapata raha duniani na utukufu mbinguni, simba ile miquisone{sakho} akipewa kandanda unatoa jicho kuona wangapi watafungashwa tela, ambayo ilimpiga vita club manne pamoja na kamati pendwa ile ya mapokezi
Naitamani morali ile ya wachezaji kushambulia muda wote kama ile vita club anakufa 2-1 kwa mkapa, hakika itapendeza na hawa waarabu watatuambia kama ni waafrika ama waamerika, mwanakulitaka...?
Vipi mzee, umepewa rufaa ukimbizwe mhimbili?Ambulance ziwepo kwa wingi.
Hakuna cha uswahili kama boli halipo halipo tu, huwezi fananisha Simba ya Al ahly na Simba hii, tujiandae tu kisaikolojia.Nakwambia mkuu kwa yale mambo yetu ya kiswahili yanayopelekea uwanja kulindwa na makomandoo, mwarabu j mosi atapata kilichompata al ahly mwaka juzi.
Uto wako na mserereko, TP hii sio Ile.Na vipi kuhusu uto jumapili?
Hahaha ..namtizama Ahmed Ally na usimba wangu najikuta nacheka mwenyewe.Mkuu unaelewa Morocco ni namba 11 katika FIFA Men's Football Rankings sasa hivi?
Na Egypt ni 39.
Na Tanzania ni 130.
Ranking Template > Men's Ranking - EN
See latest status of the FIFA-Coca Cola Men's World Rankingwww.fifa.com
Ni hao wanaoaminishwa ushindi hewa. Wakikutana na ukweli wenyewe unadhani patakuwa na usalama hapo?Vipi mzee, umepewa rufaa ukimbizwe mhimbili?
Lazima ucheke, ukilia unaweza kulia mpaka kuumwa kichwa buree.Hahaha ..namtizama Ahmed Ally na usimba wangu najikuta nacheka mwenyewe.
Hahah mm nina imani kwa %flan mkuuYani wewe huna imani halafu unaniambia niwe na imani?
Haya mambo huwa yanabadilika sana hao waarabu wenu wakifungwa, ghafla mnaanza kuwaita ni wakawaida na kwamba hawana viwango vikubwa kwakua Simba sc imewashindaMkuu unaelewa Morocco ni namba 11 katika FIFA Men's Football Rankings sasa hivi?
Na Egypt ni 39.
Na Tanzania ni 130.
Ranking Template > Men's Ranking - EN
See latest status of the FIFA-Coca Cola Men's World Rankingwww.fifa.com
Sisi tunazungumzia CAFCL wewe unaleta habari za CAFCC (Kombe la waliofeli).Raja Kachukua confederation 2021 na pia walitoa top scorer Ben Malango.
Wakati Ahly inafungwa, kabla ya mechi mlitarajia itafungwa?Kweni wachezaji waloifunga Al ahly ndo Hawa waliopo sasa?
Msije kuwaita vibonde baada ya mechi, tunawatunzia risiti zenu.Wale mlikuwa mnawachezesha juani.
Jua la saa 10 dar ni kali sana kwa mtu mgeni
Raja casablanca mechi usiku kwenye hali ya hewa nzuri..
Hata wewe ukiambiwa ukimbie kutroti saa 10 utachoka haraka kwa jua.. ila ukiambiwa ukimbie mazoezi saa 1 usiku hautachoka haraka hata kama sio mtu wa mazoezi
Mkuu hawa vidimbwi wao kazi ni zomea zomea tu, mwaka juzi tulipopangiwa kundi moja na al ahly, as vita na el mereck walisema simba ni under dog, na kwamba ingemaliza wa mwisho! Maajabu ya simba ikamalizo on the top, jamaa wakabadili maneno eti al ahly imechoka na vita club imeondokewa na wachezaji wengi, chakushangaza al ahly aliechoka akachukua ubingwa kwa kumpiga kaize chief ambae nae alinusurika pale kwa mkapa,Haya mambo huwa yanabadilika sana hao waarabu wenu wakifungwa, ghafla mnaanza kuwaita ni wakawaida na kwamba hawana viwango vikubwa kwakua Simba sc imewashinda
Leo hii team zote za kimataifa ambazo zimefungwa na Simba Sc hapo kwa mkapa umazioma dhaifu, leo hii Ahly unawaona dhaifu hao raja mara ya mwisho kuchukua kombe mbele ya Al Ahly ni lini??
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] acheni uchwawiJiandaeni kuwalaumu mabeki zenu hasa Henock, hope ana gori atakalochomesha[emoji28]...
simba alicheza mechi saa 10, alicheza mechi saa 1, alicheza mechi saa 4 na zote alishinda sasa unapata wapi nguvu ya kuzungumzia muda kama kikwazo cha ushindi?Wale mlikuwa mnawachezesha juani.
Jua la saa 10 dar ni kali sana kwa mtu mgeni
Raja casablanca mechi usiku kwenye hali ya hewa nzuri..
Hata wewe ukiambiwa ukimbie kutroti saa 10 utachoka haraka kwa jua.. ila ukiambiwa ukimbie mazoezi saa 1 usiku hautachoka haraka hata kama sio mtu wa mazoezi
Mechi ya jwaneng galaxy ilikua ndondo cup naona haipo kwenye kumbukumbu hapo.Nataka tuu niwakumbushe wale wenye roho za kichawi...hata tukipigwa ila hii rekodi haitakaa ifikiwe na yoyote
REKODI YA MNYAMA KWA MKAPA
View attachment 2520421View attachment 2520423View attachment 2520422