Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Yesu ni sawa na Huyo mtu aliyemtaja Kangi, okay Dhambi ya kufuru hii, soon atajibiwa kwa moto na mwenye pumzi yakewewe mwenyewe Ni mfano mzuri ...
USINGERUDI! narudia Tena USINGERUDI kwenye first eleven kama sio kwa mbinu Hii...
probably Kangi lugola amejifunza kutoka kwako....
Wanamkufuru Mungu, tuwaonye,acha wamsifu magufuli sisi tunamsifu Mungu.
Ila mwingine ni ufara,haiwezekani udharirishe utu wako na familia yako kisa nafasi.Hivi watoto wako wakisikia umemuita jp Mungu na wakat huwa unawaambia Mungu hafananishi na mwanadamu huoni aibu?Unakuta jimbo lako watia nia ndani ya chama wapo zaidi ya 17, halafu kwa utaratibu mpya Kamati kuu inatakiwa kuteua majina matatu tu ndiyo yakapigiwe kura za maoni. Na Magufuli ndiye Mwenyekiti wa chama na kamati kuu.
Hivi katika mazingira hayo hata mngekuwa nyie mngefanya nini?
Hebu basi tujaribu kuwa waelewa basi, tunapoona watu wanasifu mpaka wanakufuru wanamwita JPM Mungu tuwavumilie hali ni mbaya huko ndani.
Kilichopo ni ama uteuliwe ugombee na usipoteuliwa kugombea nafasi ya kuteuliwa uDC na uRC nazo ni finyu list ni ndefu sana.
Hivyo kadri unavyofanya bidii kusifu ndiyo odds za kuula zinaongezeka
Ndio sasa karibu nzi wote wa kijani wamekuwa hivyoIla mwingine ni ufara,haiwezekani udharirishe utu wako na familia yako kisa nafasi.Hivi watoto wako wakisikia umemuita jp Mungu na wakat huwa unawaambia Mungu hafananishi na mwanadamu huoni aibu?
Kutoka Dar mpaka mwanza ni takribani KM 1200.Muulize km 74,000 zimejengwa wap??
Nashukuru Kwa swali zuriKutoka Dar mpaka mwanza ni takribani KM 1200.
Maana ake ni kwamba serikali hii imejenga barabara 61 zenye urefu wa kutoka Dar-Mwanza.
Sasa ndugu Mwigulu Nchemba hizo barabara (KM 74,000=61 roads from DAR -MWZ) ziko wapi mbona hatujawahi kuziona?
Yanakera, yaani walianza kusema "magu ni kama Nyerere, Mwigulu akasema ni zaidi ya Nyerere ,sasa kangi kaja na "ni zaidi ya Yesu" !Jamaa wanapiga mapambio hatariiii....
bwana wa mabwana mungu wa miungu alufa na omera nan kama mwewe........
Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Halafu wao ndo wa kwanza kuwaambia watu wajiajiri.Aisee basi inabidi tuwaonee huruma kumbe hawafanyi hivi kwa ridhaa yao bali wanaogopa ulaji unakatika alafu waoga sana kujiajiri.
Kutoka Dar mpaka mwanza ni takribani KM 1200.
Maana ake ni kwamba serikali hii imejenga barabara 61 zenye urefu wa kutoka Dar-Mwanza.
Sasa ndugu Mwigulu Nchemba hizo barabara (KM 74,000=61 roads from DAR -MWZ) ziko wapi mbona hatujawahi kuziona?
Hizo kazi zimefanywa na Serikali au JPM..?afu sifa za hivyo huwezi kuzikuta nchi yoyote duniani...haiwezekani MTU mmoja tu afanye hayoUsipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Mkuu kuweni wakweli basi ,siku hizi hamfanyi kazi bali mnashindana kumsifia rais ili muendelee kuwepo kwenye ulaji,Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Mwigulu!Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Ndo afananishwe na yesu?Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Ni taka taka inastahili kuwa kwa Dustbin now..very irritating so called leaders..PUMBAVU jingine hili linajikomba kwa
******* mpaka linatia AIBU kisa apate TEUZI TU!
pHd yako ni hasara kwa Taifa, Ingefaa asomeshwe mtu mwengine siyo wewe, umekuwa mzigo kwa taifa kwa kuchafua mawe nchi nzima , umekuwa mzigo kwa kutofikiri na kutumia elimu yako vibaya , Mungu atakulipa sawasawa na unachopandaUsipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme kila Kijiji, Barabara za vijiji zaidi ya 74,000km , Maji, Elimu, na Miradi ya Kkielelezo, just to mention a few. Aliyekwambia wagombea watachujwa ni nani? Tangu lini wewe umekuwa Msemaji wa Chama Chetu! Hata utwambia yatapitishwa majina matatu?
Wewe ndiyo unatakiwa kuwa na adabu. Kubwa zima, phd yenyewe umepewa kimagumashi. Kwani kujenga miundombinu kwa taifa si ni kazi yake? Au aliomba kura 2015 ili iweje! Sisi wananchi tusiyo na vyeo vyovyote ndiyo tuna haki zaidi ya kupima utendaji wa rais, na siyo nyie viongozi wa nitoleeUsipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.