Uchaguzi 2020 Hii ndiyo siri wabunge wa CCM kumsifu Rais Magufuli

kikwete ndiye alitumia kodi za watanzania kujenga barabara na miradi mingi ni ile endelevu ya kikwete
Mh atutajie ni bara bara zipi angalau tano tu ktk hizo za 74000Km. Pia atutajie vituo vya afya kwenye jimbo lake ni vingapi vimehengwa na lini na atutajie hospitali za wilaya ktk jimbo lake.
 
Yaani wamesifu mpaka wakamgeuza kuwa Yesu. NEW JESUS IN TOWN!
 

Yaani wewe umesahu ulivyo imba na kusifu na ukarudishiwa uwaziri leo hii unakuja hapa na ngonjera za kitoto hizo kama vile watanzania wote ni wajinga!lugola anajua anachokifanya maana imekuwa ni kanuni wanaoimba mapambio na kusifu ndiyo wateule kama ulivyomteule wewe!tuondolee shombo lako hapa
 
Aisee basi inabidi tuwaonee huruma kumbe hawafanyi hivi kwa ridhaa yao bali wanaogopa ulaji unakatika alafu waoga sana kujiajiri.
Hata Naibu Rais ndugu Daud Bashite kadumu kwenye U-RC na vyeo vyote alivyompa ikiwemo mshauri mkuu wa mtukufu kwa sababu amejua kusifu na pia anajua kuihujumu chadema.
 
Mwana CCM anayetambuliwa makao makuu ya CCM ni yule anayesifu na kuihujumu chadema kwa uwazi pekee wengine hawatambuliki.
 


WaTanzania siku hizi mnajua kufikiri vizuri
 
Nilikuwa sijasoma ID kumbe ni ww mwamba wa siginda. Chukua basi form ya uraisi utimize ile ndoto ulio andika kwenye mawe na karavati za madaraja nchi nzima 2015
Ha ha ha ha huyo akiingia ikulu siku ya kwanza tu atatangaza kufuta mfumo wa vyama vingi na kufukuza Balozi zote za wazungu kurejesha mabalozi wote Nchini na kubakiza za jamii moja korea Japan china ambao hawajali mfumo wa vyama vingi.
 
Anadhani humu mitandaoni ni kama kwenye mikutano ya huko jimboni kwake, ambako anawahubiria kisha wanamshangilia. Humu watu wana akili zao, na watu wasiojulikana hawaji humu.
Naunga mkono hoja yako kwa 100%
 
Taifa la wajinga na mang'ombe

Mtu mmoja ana control vichwa milioni 60 bila tatizo lolote
Wanaojiita wasomi huko CCM wote Bungeni hawaongei vitu vya mbolea, Ndungai kabakia kuwatumia darasa la saba Msukuma na Livingston kibajaji kama waimba taarabu, CCM ya sasa inahudhunisha.
 
Mh atutajie ni bara bara zipi angalau tano tu ktk hizo za 74000Km. Pia atutajie vituo vya afya kwenye jimbo lake ni vingapi vimehengwa na lini na atutajie hospitali za wilaya ktk jimbo lake.
Pesa ya viwanda, pesa za maendeleo zote zimetumika kuwanunua wabunge madiwani wanachama wa chadema, Pesa iliyotumika kuidhoofisha chadema ni pesa nyingi sana ingekuwa hizo pesa zimeelekezwa kwenye maendeleo mda huu kungekuwa na daraja toka Dsm mpaka Zanzibar na pemba, mafia Lindi, ukerewe mwanza, kungekuwa na viwanda kila kata, vyuo vikuu kila wilaya, Hosptal za rufaa kubwa zenye madaktari Bingwa toka India cuba ulaya kila mkoa.
 
Bashiru alisema kama wabunge ambao walishashika jimbo awamu mbili wasahu awamu hii kurudishwa
Bashiru atakwama kwa hili wapo watu mabingwa wa kusifu kama akina Kesi na wenzao wameapa kuzeekea Bungeni mpaka watembelee mikongojo
 
Kimsingi, watanzania wanahitaji sura na fikra mpya kwenye Bunge lijalo. Wanahitaji watetezi, wawakilishi na washawishi. Hawahitaji wa aina ya sasa. Hawahitaji hawahawa waende wakatende hayahaya. Wanahitaji wachapakazi na wa kuishi na wananchi wao katika shida na raha. Maisha si miundombinu tu. Hata faraja na furaha pamoja na wananchi ni maisha bora kabisa. Sura mpya zinahitajika kubadili sura ya Bunge letu.
 
Mh, mnachonishangaza ni kuwa kila Rais anayekuwepo mnataka aongezewe muda. Ilikuwa hivyo kwa Mwinyi, Mkapa, Kikwete na sasa Magufuli. Atakayekuja baada ya Magufuli naye mtamwita "Yesu" na kutaka aongezewe muda. Haiwezekani "Yesu" wawe wengi hivyo. Na hii inatuonyesha kuwa mnajikomba kwa mtu yeyote mwenye nafasi hiyo. Na Magufuli anaendekeza kujikomba kwa sababu anawainua wanaojikomba kwa waziwazi. Na nyie mmekwishamjua hivyo...
 
Naona wananchi sasa mmeamua. Kule Zimbabwe kilikuwa na Rais akiitwa Banana na Malaysia Waziri Mkuu mmoja hivi walikuwa na mchezo huo.
Dikteta angetaka kuwachezea makalio hawa wapuuzi ili awape teuzi wasingekataa, yaani wamejishusha hadhi na utu wao hadi inatia KINYAA.
 
Reactions: BAK
Wachumia tumbo utawaona tu. 2005-2015 walikuwa hawaachani na Riz-1. Baba yake alivyotoka madarakani wakaachana naye. Leo wanakufuru na wanamwita mwanadamu kuwa ni Yesu. 2026 watamsahau kabisa Magufuli na kusema hakufanya kitu na kuanza kusifia wa wakati huo.
 
Endelea kusifu na kusujudu. Ila chama sio chenu ni chake yeye mwenyekiti.
 
yule mkata viuno aliyetumbuliwa si KAMFANANISHA NANII NA YESU? tusubiri Yesu mwenye wivu ajibu, maana hata Nkurunziza ali-m'bipu naye akapiga!
Kuna akili za watu wengine ni mateso na msalaba kuwa nazo! Binadamu anamsifia binadamu mwenzake kiasi hicho badala ya kumsifia Mungu!
 
Kuna akili za watu wengine ni mateso na msalaba kuwa nazo! Binadamu anamsifia binadamu mwenzake kiasi hicho badala ya kumsifia Mungu!
Tumsamehe, mbeleko yake ni kubwa, akiachiwa ataangukia shimo la PCCB na Polisi, ana maovu mengi, kishamfananisha na Yesu, bado tu kumfananisha na Mungu baba, na mfananishwa kakaa anakuna kidevu kufurahia, na alishasema anataka kwenda kuwa malaika mkuu
 
Hawa WAPUUZI kwa jinsi walibyokuwa DESPERATE kupata TEUZI wangeambiwa washikwe makalio wangekubali. Wanainyesha UJINGA wa hali ya juu kwa jinsi WANAJIVYOJIKOMBA kwa huyo dikteta.

Naona wananchi sasa mmeamua. Kule Zimbabwe kilukuwa na Rais akiitwa Banana na Malaysia Waziri Mkuu mmpoja hivi walikuwa na mchezo huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…