Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Uyu jamaa atakua haudhuriii vikao vya wanaume kurudi Rudi sio mpango😹😹😹 CV iliyoshiba..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyu jamaa atakua haudhuriii vikao vya wanaume kurudi Rudi sio mpango😹😹😹 CV iliyoshiba..!!
Kirikuu upo? 😹😹Uyu jamaa atakua haudhuriii vikao vya wanaume kurudi Rudi sio mpango
Apa naomba mlete maumbo tuanze kutafuta thamani zao 😂😂Nimeona umeuliza km ukiwemo kwenye list utakua x ndani ya muda gani??
Lazima nipotee maana bila chachambi ww utaniachia ndara tu apa😂😂😂Kirikuu upo? 😹😹
Mbona umepotea sana mdogo wangu?
Acha ukorofi basi 😹😹Apa naomba mlete maumbo tuanze kutafuta thamani zao 😂😂
Haki huu ukorofi utakua umeanzisha ww Wacha tukichafue😂Acha ukorofi basi 😹😹
Ndiyo maana nikasema "kama"Nimeona umeuliza km ukiwemo kwenye list utakua x ndani ya muda gani??
Nilitaka kumpa somo la uwajibikaji😂😂😂Asa ulikubali vipi kukutana nae pasipo kuitaji
Yenye nyama za kutosha😁😁😹😹😹 CV iliyoshiba..!!
Asa ww ushikikiwe kitengoni tu 😂Nilitaka kumpa somo la uwajibikaji
😁😁😁🙌Asa ww ushikikiwe kitengoni tu 😂
Na dhamana usipewe ufanye ivo upigwe tyre tu 😃😁😁😁🙌
Hakika mkuuUzinzi haufai, maana unaacha makovu yasiyofutika
Kwanza mi ni mwanaume, pili hilo swali nikikujibu hutoamini, utadhani najitakatifuza, kwahiyo sitakujibu.Wewe una maex wangapi??
ARV trump kasitisha, huwezi kununua, utakufa we mtoto acha umalaya.Hakika mimi ni masikini kama wewe, masikini tunajuana
Mshtuko siyo wa Idadi,ni kwamba kama hapo tu maeksi wawili je, kwingine?. Kama ni kweli unahitaji ukombozi ili uwe huru!Hao ma ex wawili tu mnashtuka hivyo jamani😔😁
😁😁😁🙌acheni mawazo ya mbaliMshtuko siyo wa Idadi,ni kwamba kama hapo tu maeksi wawili je, kwingine?. Kama ni kweli unahitaji ukombozi ili uwe huru!