Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu ya mpiraSiku moja asubuhi wakati natoka nyumbani kwenda mihangaikoni nikiwa stendi nikakutana na x- wangu, nilikuwa nina mwaka mzima sijawahi kumuona.
Nikasalimiana nae akaniuliza mbona nimepotea ananipigia sipokei, ni kweli aliwahi kunicheki WhatsApp sikujibu nilifuta kabisa. Nikamwambia mambo mengi nicheki leo, akaniambia sawa, nikaondoka kweli baadae alinicheki. Akaniambia anataka tuonane kanimiss sana na wakati huu akawa ananiita mpenzi wake😁😁 nikamwambia tuonane kesho leo nipo bize nimechoka then kesho naingia asubuhi kanibembeleza lakini niligoma.
Ikafika hiyo kesho mida ya usiku akaniambia nirequest bolt hadi kwake, nikamwambia mimi sijisikii kupanda hizo bolt nifate, akanibembeleza nirequest nikagoma, ikabidi anifate.
Akaja mpaka karibu na ofisini, akafika kanipigia nikatokea kwa hapo stendi nikamkuta maana alikuja na pikipiki yake, nikamwambia twende mahali tukapate dinner ndiyo tuondoke, kweli tukaenda hadi bar fulani na ilikuwa weekend, tulivyofika nikala yeye hakunywa chochote alisema alikuwa kalala amekuja kwaajili yangu.
Wakati nimeletewa chakula nakula hapo, mbele yetu ghafla nikamuona x-wangu mwingine tuliyeachana kwasababu flani flani hizi nitaeleza wakati mwingine. Huyu x wangu mwingine alikuwa na rafiki zake nilishtuka, ila nikawa normal tu, yeye sasa nikamuona anawanong"oneza marafiki zake wanageuka wananiangalia, nadhani hakutegemea kama tungekutana. Akaanza kunywa pombe kwa sifa mwishowe ikiabidi wahame meza na marafiki zake, naona hakuwa comfortable kukaa pale.
Huyu x-wangu niliyekuja nae hakuona chochote ndiyo kwanza alikuwa ananilazimisha nile chap tuondoke akanile, nikamaliza kula pale nikamwambia nipeleke nyumbani kwanza sijachukua nguo za kesho,.
Basi akanipeleka mpaka pale stendi aliponiona ile siku ya 1 nikamuacha pale nikamwambia narudi nilivyofika ndani nikamwambia mimi nalala tutaonana siku nyingine, akapiga sikupokea akatuma msg sikujibu. Hakunitafuta tena.
Kuna siku nilikutana nae njiani akanipa lifti, akanikumbushia nilichomfanyia ile siku, mimi nilimcheka sana. Hiyo ndiyo zawadi ya x- anaerudi kupasha kiporo.
Timu ya mpira ina wachezaji wawili😁😁Timu ya mpira
Mpo 3 hapo, Wewe nikipa hao 2 wanagombea kukufingaTimu ya mpira ina wax
Timu ya mpira ina wachezaji wawili😁😁
😁😁😁🙌iko wapiView attachment 3264278Marehemu kaacha orodha
😁😁😁hakuna timu kama hiyo bwanaMpo 3 hapo, Wewe nikipa hao 2 wanagombea kukufinga
🤣umalaya tu, kuolewa ah!
Bado wewe tuWewe umeshatomba wangapi mkuu, hadi hao wawili wanakushtua
Kumbe wewe hatari hivyo hongera yakoBado wewe tu
Afu anajiita Binti sayuniSiku moja asubuhi wakati natoka nyumbani kwenda mihangaikoni nikiwa stendi nikakutana na x- wangu, nilikuwa nina mwaka mzima sijawahi kumuona.
Nikasalimiana nae akaniuliza mbona nimepotea ananipigia sipokei, ni kweli aliwahi kunicheki WhatsApp sikujibu nilifuta kabisa. Nikamwambia mambo mengi nicheki leo, akaniambia sawa, nikaondoka kweli baadae alinicheki. Akaniambia anataka tuonane kanimiss sana na wakati huu akawa ananiita mpenzi wake😁😁 nikamwambia tuonane kesho leo nipo bize nimechoka then kesho naingia asubuhi kanibembeleza lakini niligoma.
Ikafika hiyo kesho mida ya usiku akaniambia nirequest bolt hadi kwake, nikamwambia mimi sijisikii kupanda hizo bolt nifate, akanibembeleza nirequest nikagoma, ikabidi anifate.
Akaja mpaka karibu na ofisini, akafika kanipigia nikatokea kwa hapo stendi nikamkuta maana alikuja na pikipiki yake, nikamwambia twende mahali tukapate dinner ndiyo tuondoke, kweli tukaenda hadi bar fulani na ilikuwa weekend, tulivyofika nikala yeye hakunywa chochote alisema alikuwa kalala amekuja kwaajili yangu.
Wakati nimeletewa chakula nakula hapo, mbele yetu ghafla nikamuona x-wangu mwingine tuliyeachana kwasababu flani flani hizi nitaeleza wakati mwingine. Huyu x wangu mwingine alikuwa na rafiki zake nilishtuka, ila nikawa normal tu, yeye sasa nikamuona anawanong"oneza marafiki zake wanageuka wananiangalia, nadhani hakutegemea kama tungekutana. Akaanza kunywa pombe kwa sifa mwishowe ikiabidi wahame meza na marafiki zake, naona hakuwa comfortable kukaa pale.
Huyu x-wangu niliyekuja nae hakuona chochote ndiyo kwanza alikuwa ananilazimisha nile chap tuondoke akanile, nikamaliza kula pale nikamwambia nipeleke nyumbani kwanza sijachukua nguo za kesho,.
Basi akanipeleka mpaka pale stendi aliponiona ile siku ya 1 nikamuacha pale nikamwambia narudi nilivyofika ndani nikamwambia mimi nalala tutaonana siku nyingine, akapiga sikupokea akatuma msg sikujibu. Hakunitafuta tena.
Kuna siku nilikutana nae njiani akanipa lifti, akanikumbushia nilichomfanyia ile siku, mimi nilimcheka sana. Hiyo ndiyo zawadi ya x- anaerudi kupasha kiporo.
Kwani kuna shido?Afu anajiita Binti sayuni
Binti sayuni nilikuwa nakuheshimu mnoo ila Leo nimekuona wa hovyo mno 🤨🤨🤨🤨Kwani kuna shido?
😁😁😁unanichekeshaBinti sayuni nilikuwa nakuheshimu mnoo ila Leo nimekuona wa hovyo mno 🤨🤨🤨🤨
Eeh eeh eeh eeeeewh😁😁😁unanichekesha
Nani ana namba ya Coy mzungu ampigie, kuna mtu ana kipaji cha kuchekesha😁😁Eeh eeh eeh eeeeewh
aloo h