Hii ndiyo Tuhuma aliyokutwa nayo Mfanyabiashara Katili Cherehani huku akiwaponza Mama Mkwe na Mkewe aliye Mjamzito

Hii ndiyo Tuhuma aliyokutwa nayo Mfanyabiashara Katili Cherehani huku akiwaponza Mama Mkwe na Mkewe aliye Mjamzito

Wewe jamaa aliyekatwa mikono ni ndugu yako au
Yy ndo kakatwa,aliulizwa akatwe sikio au aliwe witiri akajibu nileni tu tigo, chereheni akashtuka akajua huyu mzoefu tutamfaidisha wakaamua kumkata sikio [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kumtetea huyo mgoni muba unapaswa kwanza nati kadhaa kichwani zing'oke.

Kitendo Cha kumtembea na MKE wa mtu,
Tena nyumban kwako na kwenye kitanda chako unacholala na mkeo hiyo Ni dharau kubwa Sana na iliyopitiliza.

Sitetei alichofanya bwana cherehan,
Ila mnaomtetea bwana muba nanyi mjitafakari Sana mngevaa viatu vya cherehani[emoji848]
Tunamtetea mwanaJF mwenzetu muba aka popoma,ametendewa unyama
 
Kwahiyo sahizi upepo unapitia tu kwa muha kama feni,aache uzinzi kwa wake za watu akikamatwa tena atakatwa na sikio la pili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui itakuwaje jamani kama kiboko sijui ha ha ha
 
Mbona kma mleta taarifa na baadhi ya watu wanamtetea uyo mzinzi wa mke wa mtu ...Kuna vitu vingine vikimtokea mwenzako hua Ni rahisi xnaa kwako kusema kua ungefanya hi au vile...ila kikija kukuta ww.sijui kama utafanya Kama ulivokua unashauri
 
Kwa kweli ni katili, ila watu waache ugoni.fundi cherehani nae alizidi.
 
Baada ya Kukamatwa Jana huko Mbagala alikojificha kwa Kosa la Kujeruhi kwa Ukatili kwa Kumkata Mgoni wake Sikio na Kidole cha Kati hii ndiyo Tuhuma inayomkabili Mfanyabiashara wa Mihogo Soko la Kawe Bwana Cherehani.

sawa ila improve kidogo uandishi (zingatia alama za uandishi). hii itasaidia kueleweka vizuri kwa unachotaka kutujuza
 
Baada ya Kukamatwa Jana huko Mbagala alikojificha kwa Kosa la Kujeruhi kwa Ukatili kwa Kumkata Mgoni wake Sikio na Kidole cha Kati hii ndiyo Tuhuma inayomkabili Mfanyabiashara wa Mihogo Soko la Kawe Bwana Cherehani.

KOSA lake / TUHUMA yake ni

KUTAKA KUUA KWA KUKUSUDIA.

Na tayari ORDER imeshatoka kwa RPC wa Kanda Maalum ya Mkoa wa Dar es Salaam kuwa Kosa hilo halina MDHAMANA.

Lingine ni kwamba Mkewe Mfanyabiashara Bwana Cherehani aitwae Mama Zai ( ambaye ni Mjamzito ) nae amejumuishwa katika Kesi hiyo na sasa Yeye na Mumewe huyo Mpumbavu, Mshamba na Mwendawazimu wako Ndani Kituo cha Police cha Oysterbay.

La mwisho ni kwamba Mama Mkwe wake Mfanyabiashara Bwana Cherehani ( ambaye ni Mama Mzazi wa Mke wa Bwana Cherehani ) aitwae Mama Zai nae amejumuishwa katika Kesi hiyo hiyo ya Mkwewe na Mwanae ( Binti yake ) na kwa sasa yuko Kituo cha Police Kawe na muda wowote kuanzia sasa atapelekwa Kituo cha Police cha Oysterbay.

Kwanini Mama Mkwe wa Mfanyabiashara Bwana Cherehani ( Bi. Zai ) amejumuishwa katika Kesi hii?

Ni kwamba Siku ya Tukio baada ya Mgoni Bwana Muba kuweka Kati ( Kufumaniwa ) Nyumbani Kwake Mfanyabiashara Bwana Cherehani ni kwamba Mama Mkwe ambaye pia ana Undugu na Mgoni Muba na pia ni Binamu wa Mke wa Mfanyabiashara Bwana Cherehani aitwae Mama Zai katika Hali ya Kushangaza na Kusikitisha alipoulizwa na Mkwewe Mfanyabiashara Bwana Cherehani kama anamjua Mgoni Muba aliruka Kimanga na Kujibu kuwa hamjui na Kuwaambia wamfanye Watakavyo ndipo Mfanyabiashara Bwana Cherehani kwa Kushirikiana na Mdogo wake aitwae Mpele na Watu wengine Watatu wakaamua Kumjeruhi vibaya Mgoni Muba kwa kuanza kumwambia avue Nguo zake zote kisha Mfanyabiashara Bwana Cherehani mbele ya Mama Mkwe wake ( mwenye Undugu na Mgoni Muba ) akishuhudia na kuanza Kumkata Sikio, Kidole kisha kuviweka katika Kitambaa cha Handkerchief na kumalizia pia na Kumchanja Shingoni kwa Wembe Mkali Mkewe Mama Zai ambaye kwa sasa ni Mjamzito.

Haya wale Wapumbavu na Wendawazimu mliokuwa mnamtetea huyu Mfanyabiashara wa Mihogo Soko la Kawe Bwana Cherehani tafadhali endeleeni Kumtetea ila wenye Akili na tuliofanya Consultations kwa Legal Gurus tumehakikishiwa kuwa Mfanyabiashara Bwana Cherehani ameharibu sana, anaenda kupotea na Kuozea Jela na kwamba hana Angles za Kujitetea ili ajinasue pamoja na kwamba huwa anajisifia kuwa ana Waganga wengi Wazuri kutoka Bagamoyo, Mbagala, Kwao Mtwara na waliko Mababu zake wa Ukoo Msumbiji kwa Wamakonde Wenzake.
Good
 
hii kesi imefikia tamati?
 
hii kesi imefikia tamati?
Kwa Tanzania Rushwa ina nguvu kuliko Haki. Mtuhumiwa yuko Huru na anaendelea na Kuuza zake Mihogo Soko la Kawe japo kwa sasa Ameokoka Kinafiki ( anasali Kanisa jirani la kwa Mchungaji Ndegi ) Kawe.

Ni kwamba wakati Kesi inaendelea na Mtuhumiwa yuko Lupango Mke wa Mtuhumiwa ( ambaye aliachwa kwa Kukashifiwa na Kipigo juu na Mumewe Cherehani ) ambaye anasali ( ni Mmoja wa Waumini ) kwa Kanisa la Living Water ( la Mchungaji Ndegi na Mkewe Lilian ) aliamua Kumpambania Mumewe huyo Mpumbavu Cherehani na Kesi yake hiyo kwa kuomba Msaada wa Waumini wa Kanisa hilo la The Living Water Kawe pamoja na wenye Kanisa hilo ili wamsaidie Polisi na kwa Wakubwa ili tu huyu Cherehani asifungwe mazima.

Hivyo kilichotokea ni Wakubwa wa Kanisa hilo la The Living Water na Waumini wake kuamua Kulibeba kama Wao ( kwakuwa tu Mke wa Mpumbavu Cherehani ) anasali Kwao ( Kanisani hapo ) na kutoa Hongo sehemu Kuu / Nyeti Mbili na Cherehani kupona Hukumu Kali iliyokuwa inaenda Kumkabili huku akipewa Masharti ya Yeye sasa kuwa Mkristo ( japo ni Muislamu kindakindaki ) na awe anaimba na Kwaya yao hapo kama anavyoimba huyo Mkewe na pia amrudie huyo Mkewe aliyemuacha kwa Kipigo, Dharau na Kashfa za kila aina huku Cherehani akiendekeza zake Uhuni kwa Wanawake na Kuwaambukiza vile vilivyoshindwa Kutibiwa na WHO tokea Viibuke rasmi mwaka 1981 baada ya Kugundulika huko nchini Uganda.

Baada ya Mpumbavu Cherehani kuvuka Kigingi hicho cha kukwepa Jela baada ya Rushwa kutembea sana ( kwa Nguvu na Ushawishi wa Kanisa la The Living Water Kawe ) akabakiwa na Kigingi kingine cha upande wa Kijana aliyemuumiza vibaya na Kikatili ( kwa kumkata Sikio na Kidole kwa Kisu na Panga huku akimpaka Spirit ) ambapo Ndugu Watata wa Mjeruhiwa ( wakiongozwa na Omary Muuza Mitumba Soko la Kawe na George Muuza Chips Soko la Kawe ) walimtaka Mpumbavu Cherehani awarudishie Viungo Ndugu yao ( yaani Sikio na Kidole ) kama vilivyokuwa huku wakimtaka akawaonyeshe alipovitupa.

Hivyo basi baada ya Mpumbavu Cherehani kuona Hali inakuwa siyo Hali na Ndugu wa Aliyemjeruhi wanakuja Juu akaamua Kuuza Moja ya Nyumba yake iliyoko Mtaa wa Ukwamani kwa kiasi cha Shilingi Milioni 20 ambapo Yeye Mpumbavu Cherehani alichukua Shilingi Milioni 10 na yule Kijana aliyefekwa Sikio na Kidole akalipwa Shilingi Milioni 10 huku na Ndugu hawa Wawili Watata tajwa nao wakapewa Hela yao Kidogo na Kulimaliza rasmi kwa Style hii na kuamini kuwa Tanzania Rushwa, Uonevu na Upendeleo vina Nguvu kuliko hata Haki na Sheria.

Kwa sasa Mpumbavu Cherehani karejea Kukaa na Mkewe aliyempigania ( japo alimuacha kwa Kipigo, Dharau na Kashfa ) huko Mji Mpya Kawe huku akiendelea na Biashara yake ya Kuuza Mihogo Soko la Kawe, akisimamia Pikipiki zake ( Bodaboda ) na akimiliki isivyo halali Vizimba ( Fremu ) zilizoko Soko la Kawe na akiwapangisha Watu ( Wafanyabiashara ) kwa Kodi ya Shilingi Elfu Sitini kwa Mwezi badala ya Kodi halali ya Shilingi Elfu Thelathini iliyowekwa.

Na kwanini haguswi ni kutokana na kwamba nae pia ni Mmoja wa Wajumbe wa Kamati ya Soko la Kawe ambalo lina Madudu mengi ila linalindwa kwakuwa aliyewahi kuwa Meya wa Kinondoni Mzee Salum Londa nae ana Vizimba vyake kadhaa hapo na ana Maslahi makubwa na Soko hilo ( hasa Kiuchumi ) kwakuwa lilianzishwa alipokuwa Meya wa Kinondoni hivyo Mipango yote ya ilipokuwa, ilipo na iendako Mzee Londa anaijua na kuhusika nayo kwa 10% zitokanazo na zitakazotokana na Soko hilo la Kawe.

Nadhani huu ufafanuzi utauelewa na nakuomba Uamini kwa 100% kwani ni Tukio lililotokea huku Binafsi nikiwa karibu na Wahusika wote ( wa pande zote ) hivyo napata Taarifa sahihi na za uhakika kutoka Kwao Wenyewe ambapo kupenda Kuropoka hovyo kwa Ushamba, Sifa na Upuuzi wao ni Jambo la Kawaida mno ambalo ni Faida kwa wengine ( kama Mimi Cognizant ) mpenda kujua kila Kitu au Jambo.

Kila la Kheri Kiongozi.
 
Back
Top Bottom