Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Profesa Janabi ana ushauri juu yako
Yeah man, like this, hapo nagonga kabla ya kuingia class.English breakfast
"Hakuna mtu anaeamka akiwa na njaa, ni kujiendekeza tu"- Prof Janabi👇👇👇😋
Kwa watu ambao hawapigi zoezi...!Sukari na presha kwa sana hapo
Usishindane na midude isosema 😅😅😅👇👇👇😋
🤣🤣🤣Hiyo ni Futari ?
Unacheka me nipo siriaz.
Acha watu wale sheikhUnacheka me nipo siriaz.
Break Fast.... Zingatia neno fast unayoenda kubreak.
Tobaaaa! Mtumeeee! 😂😂😂Hiyo ni breakfast au break njaa. Maana ni kama chakula Cha mchana. Ndio maana utakuta wengine wanajifanya wanakula kidogo mchana hasa wazungu kumbe asubuhi wamefukia misosi balaaa!👇👇👇😋
Au Sio ?Acha watu wale sheikh
Afu paap baskeli inakuua 😀Moja ya nidhamu nimejijengea baada ya ku hit mid 30's ni kutokula kula hovyo.
NIna siku 2 katika week ambao
Siku 1 sigusi kitu chochote for 24 hrs
Siku 1 nakula only once (jioni) katika saa 24.
Kwa week 1 na make sure nimekula 1kg ya nyama
Mboga mboga sana
Maji mengi sana
100kms walk per week
Heavy weight lifting daily
Mpe mimba mwenzako nenda nae kliniki, utajifunza chakula bora👇👇👇😋
Qareem tukutane taraweh tukapige rakaAu Sio ?
Nipo na Yufresh zangu mfuko was nyuma naenda kukazia wali arage.... Maji baridi nikiwa Baraza ya mbele.
Natafakari nikipata Fikra tunduizi.
Allah akupe Hikma na ilmu than.
Aaah weeh humpati mtu.Qareem tukutane taraweh tukapige raka