Hii ndo Breakfast sio hicho kipande cha mhogo na uji wa dona

NI Kubonyeza Tu Vizuri Na Vitamu Kwa Kiasi Na Wakati,,Hayo Mengine Tutajadili Baadae,,Maisha Hayasubiri
 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜‹
Tobaaaa! Mtumeeee! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hiyo ni breakfast au break njaa. Maana ni kama chakula Cha mchana. Ndio maana utakuta wengine wanajifanya wanakula kidogo mchana hasa wazungu kumbe asubuhi wamefukia misosi balaaa!
 
Afu paap baskeli inakuua πŸ˜€
 
tumia mlo huu kama breakfast. Hapo kuna carrot,Tango,na pilipili manga vilivyo kaangwa kwa mafuta kidoogo ya karanga.
Hapo hakuna mapresha masukari wala gauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…