Hii ndo imefanya hasiwe shortlisted for interview?

Hasiwe ❌ asiwe ✅
Ilibidi jina lako likatwe ili usiende kuwafundisha watoto upuuzi.
 
Kaka niazime buku.

Nitakurudishe leo usiku kabla siku haijaisha.
Walimu mna njaa sana ukute mtakao enda kwenye usaili wa mahojiano mkawa wachache sana nauli za kutoka kijijini kwako hadi mkoani itawashinda pole mwalimu buku ninayo ila sikupi
 
Kaka usiponipa hiyo buku, itakutokea puani. Kwa usalama wako bora unipe.

FYI mafwele ni jirani yangu
 
Back
Top Bottom