Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 2,049
- 5,449
Mkuu, niliwasamehe ndio ila hapo awali sikuwaamini na hata baada ya hapo sina sababu ya kuwaamini tena.Ngoja nikuulize swali naomba unijibu.
Wewe kwenye maisha yako kuna watu waliwahi kukukosea na ukawasamehe? Natumai jibu hapo ni ndiyo.
Je, uliwaamini tena baada ya hapo hata kama uliwasamehe?
Umejibu vyema mkuu, unamjua baba yako kwa sababu umemuona au umeadithiwa au pengine uliona hata picha yake ila Mungu unamuamini kwa sababu humjui. Unachokiamini siku zote hukijui ndio maana umeweka imani.Namjua Baba yangu mzazi
Ninamwanini Mungu sana
Lufufu😅Amejitoa na kwenda wapi?
Mkuu ipo hivi,,Vizuri kabisa ni demokrasia hiyo ndio lakini kunaweza kuwa na tofauti kubwa sana ya walichokifanya hawa watu.
Walishindwa kutawala hisia zao na kufanya demokrasia yenye staha na kushindanisha hoja.
Maana yake ni kwamba imewafunulia watu wawajue zaidi uwezo wao wa kufikiri upo vipi.
Naam, na hii ndo sababu ya ni kwanini ninasema, ajali ya kisiasa imewafikia ndugu hawa. Hawataweza kuaminika tena mbele ya wanachama walio wengi.Mkuu, niliwasamehe ndio ila hapo awali sikuwaamini na hata baada ya hapo sina sababu ya kuwaamini tena.
Nahisi hii mada kwako ni nzito sio size yako kuijadili. Pita tu kama mimi usome commentHiyo si ndio demokrasia sasa ulitaka Lissu Tundu akose wapinzani huo ni udikteta sasa....sidhani kama kutakuwa na mambo ya huyu hakuwa upande wetu tumtenge.
Kwani chadema walikuwa wanapata nini? chadema siyo CCM ambapo kuna vyeo and for tht matter LAJI. Chadema ni kujitolea na maumivu makali......and therefore they will be relieved of pain and sufferings being a chadema active memberAjali ya kisiasa ni tukio ambalo linamtokea mtu kwa yeye mwenyewe kulitengeneza au kutengenezewa, na ambalo linamuondoa moja kwa moja kwenye ulingo na ramani ya kisiasa.
Zitto Kabwe ni mfano hai wa mwanasiasa Tanzania aliyepigwa na ajali ya kisiasa ambayo imempoteza kabisa kwenye ramani ya kisiasa angali bado yupo kwenye prime age ya kufanya siasa za ushindani kwa kiwango cha juu kabisa.
Baada ya kutamatika uchaguzi Chadema, kuna watu ajali za kisiasa zitakuwa zimewafikia. Kwangu ni Boni Yai, Yericko na Ntobi na wapuuzi wengine
Hawa watu walijiona ni miungu watu kwenye kipindi cha kampeni na hata wengine kufikia kujiita 'Machinery ya Chama' na maneno makali sana na dhihaka.
Natumai Lissu sio mtu wa visasi, ila kwa uchaguzi huu, atakuwa ameweza kusoma vyema uwezo wa kufikiri na kujenga hoja kwa aina ya wanachama dizaini ya Yericko na Ntobi, wamejipotezea heshima na kuaminika mbele ya wanachama wa kawaida na viongozi wengine wa chama.
Ajali ya kisiasa imewapiga rasmi kwa kushindwa kuwa na akiba ya maneno
Hilo lipo kisiasa zaidi kuliko uhalisia.CHADEMA HAMNA VISASI, WATARIDHIANA NA KURUDI PAMOJA KUJENGA CHAMA.
Unauliza maswali unayoyajua majibu yake?Ajali kivipi? Bon atagombea ubunge na Yericko atagombea ubunge Kigamboni. Pia Lissu kutomuamini Bon kunamuathiri vipi Bon?
Swali zuri sana.Amejitoa na kwenda wapi?
Mmh, hawakufaa na hawafai, sikio ni ulafi au uzumbukuku auAjali ya kisiasa ni tukio ambalo linamtokea mtu kwa yeye mwenyewe kulitengeneza au kutengenezewa, na ambalo linamuondoa moja kwa moja kwenye ulingo na ramani ya kisiasa.
Zitto Kabwe ni mfano hai wa mwanasiasa Tanzania aliyepigwa na ajali ya kisiasa ambayo imempoteza kabisa kwenye ramani ya kisiasa angali bado yupo kwenye prime age ya kufanya siasa za ushindani kwa kiwango cha juu kabisa.
Baada ya kutamatika uchaguzi Chadema, kuna watu ajali za kisiasa zitakuwa zimewafikia. Kwangu ni Boni Yai, Yericko na Ntobi na wapuuzi wengine
Hawa watu walijiona ni miungu watu kwenye kipindi cha kampeni na hata wengine kufikia kujiita 'Machinery ya Chama' na maneno makali sana na dhihaka.
Natumai Lissu sio mtu wa visasi, ila kwa uchaguzi huu, atakuwa ameweza kusoma vyema uwezo wa kufikiri na kujenga hoja kwa aina ya wanachama dizaini ya Yericko na Ntobi, wamejipotezea heshima na kuaminika mbele ya wanachama wa kawaida na viongozi wengine wa chama.
Ajali ya kisiasa imewapiga rasmi kwa kushindwa kuwa na akiba ya maneno
Nadhani haujamsoma vyema mtoa mada.Hatutaki siasa za visasi, stronger together.
Hapana, CDM siyo CCM, Sisi tunasema "usizitazame dhambi zao" angalia zaidi "Imani kwa chama, CDM"; hawa walitetea Chama kisife wanaweza kuwa na sababu za msingi, ndiyo demokrasia. Ila yule YUDA, kwa kutaka kuuza Chama kwa vipande 30 (Wenje) lazima achunguzwe, kukiwa na evidence kua alishirikiana na Abdul kugawa rushwa na kutaka kukisaliti chama lazima aadhibiwe. Yaani Wenje.Ajali ya kisiasa ni tukio ambalo linamtokea mtu kwa yeye mwenyewe kulitengeneza au kutengenezewa, na ambalo linamuondoa moja kwa moja kwenye ulingo na ramani ya kisiasa.
Zitto Kabwe ni mfano hai wa mwanasiasa Tanzania aliyepigwa na ajali ya kisiasa ambayo imempoteza kabisa kwenye ramani ya kisiasa angali bado yupo kwenye prime age ya kufanya siasa za ushindani kwa kiwango cha juu kabisa.
Baada ya kutamatika uchaguzi Chadema, kuna watu ajali za kisiasa zitakuwa zimewafikia. Kwangu ni Boni Yai, Yericko na Ntobi na wapuuzi wengine
Hawa watu walijiona ni miungu watu kwenye kipindi cha kampeni na hata wengine kufikia kujiita 'Machinery ya Chama' na maneno makali sana na dhihaka.
Natumai Lissu sio mtu wa visasi, ila kwa uchaguzi huu, atakuwa ameweza kusoma vyema uwezo wa kufikiri na kujenga hoja kwa aina ya wanachama dizaini ya Yericko na Ntobi, wamejipotezea heshima na kuaminika mbele ya wanachama wa kawaida na viongozi wengine wa chama.
Ajali ya kisiasa imewapiga rasmi kwa kushindwa kuwa na akiba ya maneno
Mkuu upo sahihi.watu kutofautiana kwa hoja au mtazamo sio dhambi.Hiyo si ndio demokrasia sasa ulitaka Lissu Tundu akose wapinzani huo ni udikteta sasa....sidhani kama kutakuwa na mambo ya huyu hakuwa upande wetu tumtenge.
Mimi sielewi huyu mtu ilikuwaje alifukuzwa wakati alikuwa shabiki wa MwenyekitiNtobi na wapuuzi wengine
Who are knowers mkuu?
Huyo ni yule jamaa wa makkaratasi?atoke tu hana ushawishi wowote
View attachment 3210644
" Tunaweza kusameheana ila kuaminiana ni kipengele kizito sana " - makutuporaKwa Ntobi na Yericko ni sawa ila Boni Yai hakuwa na maneno makali sana.
Namwelewa Sasa Kwanini Malisa gj aliamua kutulia tu ... Faida yake ndo hii Sasa! Amejilinda.
Tunaweza kusameheana ila kuaminiana ni kipengele kizito sana.