Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,237
- 1,696
Boni yai alichemka sana sana. MMM aliusoma mchezo akasungusi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe wewe ni hewa kichwani.....Ajali kivipi? Bon atagombea ubunge na Yericko atagombea ubunge Kigamboni. Pia Lissu kutomuamini Bon kunamuathiri vipi Bon?
Boni yai ni mkiti kanda ya pwani na hakuna wa kumtoa pale kikatiba hadi uchaguzi mkuu ujao.Ajali ya kisiasa ni tukio ambalo linamtokea mtu kwa yeye mwenyewe kulitengeneza au kutengenezewa, na ambalo linamuondoa moja kwa moja kwenye ulingo na ramani ya kisiasa.
Zitto Kabwe ni mfano hai wa mwanasiasa Tanzania aliyepigwa na ajali ya kisiasa ambayo imempoteza kabisa kwenye ramani ya kisiasa angali bado yupo kwenye prime age ya kufanya siasa za ushindani kwa kiwango cha juu kabisa.
Baada ya kutamatika uchaguzi Chadema, kuna watu ajali za kisiasa zitakuwa zimewafikia. Kwangu ni Boni Yai, Yericko na Ntobi na wapuuzi wengine
Hawa watu walijiona ni miungu watu kwenye kipindi cha kampeni na hata wengine kufikia kujiita 'Machinery ya Chama' na maneno makali sana na dhihaka.
Natumai Lissu sio mtu wa visasi, ila kwa uchaguzi huu, atakuwa ameweza kusoma vyema uwezo wa kufikiri na kujenga hoja kwa aina ya wanachama dizaini ya Yericko na Ntobi, wamejipotezea heshima na kuaminika mbele ya wanachama wa kawaida na viongozi wengine wa chama.
Ajali ya kisiasa imewapiga rasmi kwa kushindwa kuwa na akiba ya maneno
Mambo ya vibali ni maneno na mbwembe za wachungaji. Hakuna ugomvi, na hakuna mwenye akili anayedhani kuwa upande tofauti katika uchaguzi ni iadui. Ukitaka Lissu apitishwe kama Wassira?Of coz, najua Lissu hatalipa kisasi, ila utakubaliana na mimi kwamba, amekipoteza kibali chake. Atasamehewa ila hata aminika tena, amejifunua tuione akili yake ni ya namna gani
Heshima ikipungua imepungua tu, anayeweza kuridhiana na kurudi pamoja kujenga chama ni Mkeo tu.CHADEMA HAMNA VISASI, WATARIDHIANA NA KURUDI PAMOJA KUJENGA CHAMA.
Natumai Lissu sio mtu wa visasi, ila kwa uchaguzi huu, atakuwa ameweza kusoma vyema uwezo wa kufikiri na kujenga hoja kwa aina ya wanachama dizaini ya Yericko na Ntobi, wamejipotezea heshima na kuaminika mbele ya wanachama wa kawaida na viongozi wengine wa chama.Ajali ya kisiasa ni tukio ambalo linamtokea mtu kwa yeye mwenyewe kulitengeneza au kutengenezewa, na ambalo linamuondoa moja kwa moja kwenye ulingo na ramani ya kisiasa.