Hii ndo inaenda kuwa ajali ya kisiasa kwa Boni Yai, Yericko Nyerere, Ntobi na wengine wote waliojitoa ufahamu na kufanya kampeni zilizokosa staha

Boni yai alichemka sana sana. MMM aliusoma mchezo akasungusi.
 
Boni yai ni mkiti kanda ya pwani na hakuna wa kumtoa pale kikatiba hadi uchaguzi mkuu ujao.

Yeriko Nyerere ni mjumbe wa mkutano mkuu hadi uchaguzi ujao hakuna wa kumtoa kikatiba.

Hakuna ajali yeyote itakayowafika usidanganye watu.

Uchaguzi ujao watu mbalimbali watagombea nafasi todauti na hatma ya mtu inategemea wapiiga kura wakati huo.
 
Of coz, najua Lissu hatalipa kisasi, ila utakubaliana na mimi kwamba, amekipoteza kibali chake. Atasamehewa ila hata aminika tena, amejifunua tuione akili yake ni ya namna gani
Mambo ya vibali ni maneno na mbwembe za wachungaji. Hakuna ugomvi, na hakuna mwenye akili anayedhani kuwa upande tofauti katika uchaguzi ni iadui. Ukitaka Lissu apitishwe kama Wassira?
 
Wanachopaswa kufanya ni kubadili Mindset! Waungane na Lissu kuleta mabadiliko katika chama!
Siasa ndivyo zilivyo!
 
Natumai Lissu sio mtu wa visasi, ila kwa uchaguzi huu, atakuwa ameweza kusoma vyema uwezo wa kufikiri na kujenga hoja kwa aina ya wanachama dizaini ya Yericko na Ntobi, wamejipotezea heshima na kuaminika mbele ya wanachama wa kawaida na viongozi wengine wa chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…