Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Azam Complex wamiliki na mameneja ni washenzi sana. Wanatuhujumu. Uwanja wanakataa tusiuone kabla ya match. Ni washenzih sana hawa jamaa.
Wanatuhujumu sana hawa Azam na mikia. Hawataki tuwe tunakagua uwanja kabla ya matches. Wana fanya hujuma kwa team yetu hawa mbwa. Hawataki tuuandae uwanja kabla ya match na vyumbani wanaweka kamera.
Watu wanaangalia sisi tunachofanya. Ni upuuzi. Kama tunajidunga kupunguza maumivu wao inawauma nini?na sisi kuruka gate au kupitia njia nyingine wao inawaumizaje? Ni ufala tu wa azam. Hawa walikuwa watu wetu vizuri tukawaamini na kutumia uwanja wao.sasa wameamua kutuadhiri. Tutawaachia kiwanja chao.
Wanataka tufungwe....wanataka tupoteze matches zetu. Tutahama huu uwanja.