Hii ndo match yetu ya Mwisho kucheza Uwanja wa Azam. Hawa washenzi tutawakomoa

Azam Complex wamiliki na mameneja ni washenzi sana. Wanatuhujumu. Uwanja wanakataa tusiuone kabla ya match. Ni washenzih sana hawa jamaa.

Wanatuhujumu sana hawa Azam na mikia. Hawataki tuwe tunakagua uwanja kabla ya matches. Wana fanya hujuma kwa team yetu hawa mbwa.

Wanataka tufungwe....wanataka tupoteze matches zetu. Tutahama huu uwanja.
Hamieni kwenye uwanja wenu utopolo
 
Uwanja umekataa matambiko yenu acheni uchawi chezeni mpira
 
Azam Complex wamiliki na mameneja ni washenzi sana. Wanatuhujumu. Uwanja wanakataa tusiuone kabla ya match. Ni washenzih sana hawa jamaa.

Wanatuhujumu sana hawa Azam na mikia. Hawataki tuwe tunakagua uwanja kabla ya matches. Wana fanya hujuma kwa team yetu hawa mbwa.

Wanataka tufungwe....wanataka tupoteze matches zetu. Tutahama huu uwanja.
Tengenezen wa kwenu wapuuzi nyie
 
Back
Top Bottom