Sasa wewe mkuu unabishana kama wale Nyerere aliwaita zuzu!
Unarudisha almasi yako kwa tapeli halafu unauziwa feki na unachekelea!
Kama unachangia wewe(Mbeya pato la Taifa, una nini cha kuonyesha mchango huo na umasikini umezagaa.
Wewe unazalisha pato la Taifa,barabara zikajengwe kwingine.
Sasa hiyo ni uadilifu unakosekana katika mgawanyo wa pato la Taifa, haina uhusiano wa moja kwa moja wa PER CAPITA ya wakaazi wa eneo tajwa, hapa haikutajwa mikoa yenye. Àm bora, definetely Ar iko juu ya Mby, ila income ya wakazi, mmoja ndiyo iliyoipaisha Mby dhid ya A-Town. Sasa tungeomba ile ya TRA: ANNUAL REVENUE COLLECTION REGIONAL WISE(Domestic), tuone nani yuko juu ya mwenzie.