HII ndo Mikoa tajiri Tanzania (Kwa mujibu wa BOT), Mbeya yaishinda Arusha...

Sasa wewe mkuu unabishana kama wale Nyerere aliwaita zuzu!
Unarudisha almasi yako kwa tapeli halafu unauziwa feki na unachekelea!
Kama unachangia wewe(Mbeya pato la Taifa, una nini cha kuonyesha mchango huo na umasikini umezagaa.
Wewe unazalisha pato la Taifa,barabara zikajengwe kwingine.

Sasa hiyo ni uadilifu unakosekana katika mgawanyo wa pato la Taifa, haina uhusiano wa moja kwa moja wa PER CAPITA ya wakaazi wa eneo tajwa, hapa haikutajwa mikoa yenye. Àm bora, definetely Ar iko juu ya Mby, ila income ya wakazi, mmoja ndiyo iliyoipaisha Mby dhid ya A-Town. Sasa tungeomba ile ya TRA: ANNUAL REVENUE COLLECTION REGIONAL WISE(Domestic), tuone nani yuko juu ya mwenzie.
 
Sorry, haikutajwa mikoa yenye miundombinu na huduma bora, la hasha!
 
pia nimegundua kuwa maeneo yanayoongozwa na wabunge,ma-Rc,ma-Dc Matajiri, ndiyo yanayoongoza kwa umasikini!! Ni mbunge mmoja tu ndiye anayeonyesha nia ya kupambana na umasikini kwenye jimbo lake, Nimrod.
 
waongoze pia na kwenye kulipa kodi! Huko Mbeya si ndo juzi hapa wamepigana na TRA juu ya mashine za kulipia bidhaa?
 
Sasa hiyo ni uadilifu unakosekana katika mgawanyo wa pato la Taifa, haina uhusiano wa moja kwa moja wa PER CAPITA ya wakaazi wa eneo tajwa, hapa haikutajwa mikoa yenye. Àm bora, definetely Ar iko juu ya Mby, ila income ya wakazi, mmoja ndiyo iliyoipaisha Mby dhid ya A-Town. Sasa tungeomba ile ya TRA: ANNUAL REVENUE COLLECTION REGIONAL WISE(Domestic), tuone nani yuko juu ya mwenzie.

Wewe kilaza kweli kweli, yani hata unachoandika hukijui. Hiyo income ya mkazi mmoja mmoja inapatikana vipi? Ili unachozungumza kiwezekane ilitakiwa Arusha iwe na wakazi wengi kuizidi Mbeya, ambapo ungechukua pato la Mkoa ukigawanya kwa idadi ya watu katika mkoa ndo unapata pato la mkazi mmoja mmoja. Lakini Arusha ina watu 1,694,310 wakati Mbeya ina watu 2,707,410. Yani ki ufupi hakuna Arusha inachoizidi Mbeya kuanzia pato la mkoa hadi kwenye Miundombinu. Mbeya ipo juu ya Arusha and will always be on top of Arusha hadi Jesus arudi
 
Sorry, haikutajwa mikoa yenye miundombinu na huduma bora, la hasha!

Sasa we unafikiri Arusha imeizidi Mbeya kwa Miundombinu? Tembelea Tanroads utafute idadi ya kilometa za barabara za lami kwa Mbeya na Arusha utakaa chini ulie. Ukiona mkoa mzima unawaonea basi tafuta hata kwa jiji la Mbeya na jiji la Arusha uone.
 
Huwa tunawaambia Mabilionea wa Arusha ni wajanja wajanja tu mtu akiwa na gorofa 2 basi anatukuuuzwa bilionea ukienda Kariakoo hapo unakuta mkinga ana gorofa 4 na hajulikani kama Bilionea na wala watu hawamtukuzi kila mtu na 50 zake.

Unatafuta matusi na watu wa Arusha
 
Kama data ni za mapato ambayo Arusha inachangia kupitia TRA naelewa sababu ya Arusha kuzidiwa na mikoa mingine. Wajanja (wezi) wengi mno, na wanajua kukwepa kulipa mapato, hiyo ni sababu ya kwanza tena kubwa. Kodi inayokusanywa Arusha ni ndogo kwa sababu ya wizi unaofanywa kwa ushirikiano na haohao TRA. Sababu ya pili wamesema wenzangu, ya utoroshaji wa bidhaa za thamani kupitia njia za panya na kwenda kuziuza Kenya. Sababu ya tatu ni kampuni za kitandawazi (multinationals) ambazo huuza bidhaa ya safari (utalii) wakiwa huko Ulaya, watalii wanatangaziwa na makampuni kuwa watapelekwa mbuga za wanyama kupitia Kenya, na wakala anafanikisha vibali vyote kwa njia za kijanja ambazo hulipa kodi ndogo (ili bidhaa yake iwe nafuu apate wateja wengi)-tunaona shuttles za Nairobi zinazomiminika Arusha kila siku, yaani watalii wanashukia Jomo Kenyatta airport Nairobi kwa safari ya Arusha badala wangeshukia KIA au hata Arusha airport. Kwa hiyo tunaona watalii kibao mitaani lakini kodi iliyolipwa ni kidogo. Sababu ya nne ni kuwa kuna matajiri ambao utajiri wao hautokani na biashara hizo walizoandikisha zinazotozwa kodi ndogo. Utasikia mtu akitajwa kuwa ni bilionea, lakini ukioneshwa mahesabu ya mapato ya biashara zake utashangaa, kuna watu wenye biashara za kuandikishia majina tu hela wanapata kwingine. Kwa ulipaji wa kodi per capita sijashangazwa na ripoti hiyo kuhusu Arusha.
 
I am not critical of the report from Bank on the regional financial clout,GDP and their over all contributions to the National economic growth,My concern here is over the false reflection on the regions' financial clout mentioned.Take a look at Mbeya for example,Can anyone be convinced that Mbeya is economically stronger than Arusha?The answer is not,Arusha have got more valuable resources than Mbeya.Tourism and Mining sectors alone could make Arusha on the top spot followed by Lake region,And then Dar es salaam if our Country had a proper government system with good policies on how our resources should be protected and put to a good use.

We have been hearing about Tanzanite minerals being smuggled into Kenya and South Africa if i am not mistaken.The iron is,Kenya is the major exporter of Tanzanite while Tanzania where Tanzanite is found lags behind.Tourism is another key sector which contributes very little to Arusha region because tourism activities are largely controlled by the Foreign Firms.

Do you really know Mbeya? or, you are just obsessed with Tanzanite and Tourism? Do you know Mbeya, has Gold, Coal(kiwira and Mbozi) Natural Gas, Agriculture (coffee, maize, banana, cocoa, rice etc to name a few) do you know Mbeya is one of the four Region feeding Tanzania? Do you also know that Mbeya share borders with Malawi, and Zambia? I think it's wise to consider all factors as to why Mbeya is better than Arusha. I am saying this because, I had an opportunity to leave in Mbeya as well as Arusha. Yes, Arusha is famous than Mbeya, but economically Arusha is still far away.
 
Wewe kilaza kweli kweli, yani hata unachoandika hukijui. Hiyo income ya mkazi mmoja mmoja inapatikana vipi? Ili unachozungumza kiwezekane ilitakiwa Arusha iwe na wakazi wengi kuizidi Mbeya, ambapo ungechukua pato la Mkoa ukigawanya kwa idadi ya watu katika mkoa ndo unapata pato la mkazi mmoja mmoja. Lakini Arusha ina watu 1,694,310 wakati Mbeya ina watu 2,707,410. Yani ki ufupi hakuna Arusha inachoizidi Mbeya kuanzia pato la mkoa hadi kwenye Miundombinu. Mbeya ipo juu ya Arusha and will always be on top of Arusha hadi Jesus arudi

Mpuuzi kweli wewe, swala siyo uwingi wa watu, ni uwiano wa fedha gawanya kwa watu. Kwa mfano 27,000,000,000/2,700,000 jibu ni kama 10000(Mbeya kwa mfano) na 27,000,000,000/1,600,000 jibu ni karibia 17,000(Arusha kwa mfano). Kwa hiyo siyo kweli kuwa Arusha ilitakiwa iwe na watu wengi kuliko Mbeya ndo per capita iwe juu, bali hela iwe nyingi dhidi ya watu ili wagawane nyingi. Ungwini bila hata kujua hesabu za kawaida za kuuzia vitumbua mbaya sana. Yaani kweli kwa akili yako ukiwa na million moja ili upate fedha nyingi kwenye mgao idadi ya watu inatakiwa iwe nyingi au chache? Watu wakiwa wengi inabidi hiyo million zaidi ya moja. Hesabu za proportionality(direct/ inverse proportional) kaka, hata hizo huzijui za form 1 au form2? Pole!
 
Naona hujaelewa nilichokuwa namaanisha, maana yangu ilikuwa Mby ina watu wengi ukilinganisha na Aru kwa hiyo kama Aru ingekuwa na pato kubwa kimkoa kuishinda Mby basi wangekuwa juu kwa sababu wana idadi ndogo ya watu. Maelezo yangu yalikuwa kukueleza wewe uliyesema Mby imeizidi Arusha kwa sababu ya pato la mtu mmoja mmoja ndio nikasema ili hilo liwezekane basi ilitakiwa Arusha iwe na idadi kubwa ya watu kuizidi Mbeya Kilaza wewe. lakini vizuri umeelewa na kujikosoa ulichoandika mwanzo mwenyewe eti Mbeya imeizidi Arusha kwa sababu ya pato la mtu mmoja mmoja, ndo maana nikakuswalika kwani hilo pato linapatikanaje? Kumbe unajua ila ushabiki tu wa kipumbavu eti Arusha ni juu ya Mby.
 
Do you really know Mbeya? or, you are just obsessed with Tanzanite and Tourism? Do you know Mbeya, has Gold, Coal(kiwira and Mbozi) Natural Gas, Agriculture (coffee, maize, banana, cocoa, rice etc to name a few) do you know Mbeya is one of the four Region feeding Tanzania? Do you also know that Mbeya share borders with Malawi, and Zambia? I think it's wise to consider all factors as to why Mbeya is better than Arusha. I am saying this because, I had an opportunity to leave in Mbeya as well as Arusha. Yes, Arusha is famous than Mbeya, but economically Arusha is still far away.

Tel em Not only one of the Big Four (now big 6) but it is leading among those Big 4,
 
Ukanda wa utalii hauwezi kuongoza kwa sababu zile pesa zinapolipwa na kadi zinakwenda kwenye account ya fisadi papa nje ya nchi. BOT hawzioni ng'oooooooooooooooooooooooooooooooo

Mnafikiri kwa nini waliuza zile hoteli ..... ..... .. fungueni kesi kuwashitaki Nkapa na Jakaya kwa uhujumu wa uchumi.
 
Mbeya iko juu ya Arusha anaepinga atakuwa siyo muelewa, ukiachana na madini na kilimo, Mbeya ina border mbili ambazo ziko busy sana Tunduma na Kasumulu, tofauti na border ya Namanga, nk! Watu wa Arusha wakiwa na HeLa. Sifa nyingi, Mbeya hawana hizo, unaweza hata ukamdharau, Mbeya mzunguruko sana wa HeLa tofauti na Arusha.

Body without head
 
Naona hujaelewa nilichokuwa namaanisha, maana yangu ilikuwa Mby ina watu wengi ukilinganisha na Aru kwa hiyo kama Aru ingekuwa na pato kubwa kimkoa kuishinda Mby basi wangekuwa juu kwa sababu wana idadi ndogo ya watu. Maelezo yangu yalikuwa kukueleza wewe uliyesema Mby imeizidi Arusha kwa sababu ya pato la mtu mmoja mmoja ndio nikasema ili hilo liwezekane basi ilitakiwa Arusha iwe na idadi kubwa ya watu kuizidi Mbeya Kilaza wewe. lakini vizuri umeelewa na kujikosoa ulichoandika mwanzo mwenyewe eti Mbeya imeizidi Arusha kwa sababu ya pato la mtu mmoja mmoja, ndo maana nikakuswalika kwani hilo pato linapatikanaje? Kumbe unajua ila ushabiki tu wa kipumbavu eti Arusha ni juu ya Mby.

Bado hujajibu kitu, ni ----- tu umeandika hapa, zezeta mkubwa wew
 
Shughuli za kibiashara na kilimo zimeongezeka kwa kiasi kikubwa sana Mbeya katika miaka mitano iliyopita. Wafanyabiashara wameongezeka sana, hata lile gap lililoachwa na wafanyabiashara waliohamia hapa Dar hasa Kariakoo kukwepa kadhia ya TRA miaka iliyopita limezibwa kabisa. Mpaka wa Tunduma umerahisha sana ufanyaji biashara na Congo pia.
 
Back
Top Bottom