Hii ndo picha yangu ya mwaka huu na kwa wajukuu na vitukuu, Rais wa Afrika wenda na dunia

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
8,406
Reaction score
9,619
Wakuu nisiwachoshe , amani ya Bwana ikawe juu yenu popote mlipo

Bila kinyongo na share picha yangu ya mwaka huu 2023 na kwa vizazi vyangu vijavyo, thanks

Hakainde.png
 
Mwamba mpaka kuingia IKULU alipambana sana,alinyanyasika sana
Ndugu yangu , Mungu akisema Ndio hakuna wa kupinga, Rais anapiga Magoti kwa watumishi wa Mungu , mwamba Mungu ampe maisha marefu sana
 
Nami huyu ni my super president, Zambia inabadilika kimaendeleo, rushwa inapigwa vita sana, eneo linalonigusa hasa ni traffic officer's wao na check points zao, nyingi zimeondolewa na wameambiwa Waka patrol barabarani kuliko kuwa sehemu moja, na hii inaleta maana, kwetu hapa njoo jua,mvua,mchana, usiku, wale wa Ruaha mbuyuni utawakuta hata kama temperature ni -15C wapo tu
 
Thanks kamanda , mwamba anatueshimisha Afrika
 
Wakuu nisiwachoshe , amani ya Bwana ikawe juu yenu popote mlipo

Bila kinyongo na share picha yangu ya mwaka huu 2023 na kwa vizazi vyangu vijavyo, thanks
Sasa hapo unasifia nini? Maana hata "fedhuli" alikuwa anapenda sana kujipendekeza madhabahuni. Hiki sio kipimo cha uongozi
 
Nipe picha ya Rais wa Tanzania tangu mwalim Nyerere kupiga goti kwa watumishi wa Mungu, Mwamba anajua kipi alikua anakipigania kwa WAZAMBIA na anakionesha kwa vitendo
 
Ngoja Waje Tende Na Sharubati Watoe Hoja Iliyopo Mbele Yetu
Kivumbi Na Jasho
 
Back
Top Bottom